Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
Ngoma ngumu sana siyo rahisi kama unavyodhani israel na marekani wapo kwenye mazungumzo na hamas, wameshindwa kuwaokoa mateka wao pamoja na technology na nguvu walizokuwa nazo mambo yamekuwa magumu hapo ndio ujue kuna mungu
 
Attachments

  • Screenshot_20231119-194419_Facebook.jpg
    Screenshot_20231119-194419_Facebook.jpg
    85.6 KB · Views: 2
Kwa hiyo bibi Faiza yeye atakua anachezea tu vijeba 72[emoji3][emoji3]
Na

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamungu ina mito ya MAJI yasiyo vunda, na mito ya MAZIWA isiyo haribika ladha yake, na mito ya POMBE yenye ladha kwa wanywao, na mito ya ASALI iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya MATUNDA, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
 
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.
Uislamu unakutesa sana , labda nikuhakikishie hauwezi kuisha hata ukijinyonga, China ni mmoja wa nchi zenye kura ya VETO hakuna shida yeyote kwa nchi za kiisalmu kwenda kuomba msaada maana hata wao ni wanachama wa umoja wa mataifa, halafu mbona wakinunua vitu vingine kama simu, nguo, n.k kutoka huko huko China waraka kama huu wa hovyo hovyo hakuna
 
Na

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamungu ina mito ya MAJI yasiyo vunda, na mito ya MAZIWA isiyo haribika ladha yake, na mito ya POMBE yenye ladha kwa wanywao, na mito ya ASALI iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya MATUNDA, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
Saaafi kabisa, hakuna Mungu ambaye hivi vitamshinda
 
Kwa hiyo peponi kuna mito ya pombe
 
Saaafi kabisa, hakuna Mungu ambaye hivi vitamshinda

Mungu huyo anasubiri ufike pepo ndo akupe mito ya maziwa, asali na maji yasiyovunda? Ila hapa anashindwa kukupa? Watu wanakufa kwa njaa akidai kwamba nitakupa ukifika pepo?
 
😂😂Mi chuki yangu ipo wapi hapo mzee! Nyie mnahisi kila asiye muislam ana chuki na uislamu si ndio!
Unajificha ila una chuki ,hiyo ipo wazi😅😅😅.

Tunaambiwa hakuna urafiki kwa vile mnapanga kutudhuru.😅
 
Back
Top Bottom