Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Ngoma ngumu sana siyo rahisi kama unavyodhani israel na marekani wapo kwenye mazungumzo na hamas, wameshindwa kuwaokoa mateka wao pamoja na technology na nguvu walizokuwa nazo mambo yamekuwa magumu hapo ndio ujue kuna mungu
 

Attachments

  • Screenshot_20231119-194419_Facebook.jpg
    85.6 KB · Views: 2
Kwa hiyo bibi Faiza yeye atakua anachezea tu vijeba 72[emoji3][emoji3]
Na

[ MUH'AMMAD - 15 ]
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamungu ina mito ya MAJI yasiyo vunda, na mito ya MAZIWA isiyo haribika ladha yake, na mito ya POMBE yenye ladha kwa wanywao, na mito ya ASALI iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya MATUNDA, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
 
Uislamu unakutesa sana , labda nikuhakikishie hauwezi kuisha hata ukijinyonga, China ni mmoja wa nchi zenye kura ya VETO hakuna shida yeyote kwa nchi za kiisalmu kwenda kuomba msaada maana hata wao ni wanachama wa umoja wa mataifa, halafu mbona wakinunua vitu vingine kama simu, nguo, n.k kutoka huko huko China waraka kama huu wa hovyo hovyo hakuna
 
Saaafi kabisa, hakuna Mungu ambaye hivi vitamshinda
 
Kwa hiyo peponi kuna mito ya pombe
 
Saaafi kabisa, hakuna Mungu ambaye hivi vitamshinda

Mungu huyo anasubiri ufike pepo ndo akupe mito ya maziwa, asali na maji yasiyovunda? Ila hapa anashindwa kukupa? Watu wanakufa kwa njaa akidai kwamba nitakupa ukifika pepo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Mi chuki yangu ipo wapi hapo mzee! Nyie mnahisi kila asiye muislam ana chuki na uislamu si ndio!
Unajificha ila una chuki ,hiyo ipo waziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Tunaambiwa hakuna urafiki kwa vile mnapanga kutudhuru.πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…