Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😅😅Ndio hivyo unafuata maandiko sio maneno ya mtu ,hata sisi ndio hivyo tunafuata maandiko sio kiongozi zaidi ya Mtume wetu.Bible inakataza ushoga! Na huyo papa ni wakala wa kuzimu/mpinga kristo
PropagandaWanafinywa sana hadi leo hii China’s ‘beautiful Xinjiang’ continues to oppress Uighurs
Huyo aliyekwambieni hivo ndo kazingua sasa, usipokipenda kitu haimaanishi unakichukia. Mi mkristo ila naona kila mmoja ana haki ya kuchagua Imani aitakayo na wala sioni kama ni kosa kuchagua ukipendacho.Unajificha ila una chuki ,hiyo ipo wazi😅😅😅.
Tunaambiwa hakuna urafiki kwa vile mnapanga kutudhuru.😅
😆😆😆bora wanaume wameahidiwa mabikira, wewe utakua unaliwa na wanaume wangapi kwa siku.
Hamna hata walichohaidiwa ile dini ya wanaume tu kula bata huko wanapoita fildasun! anasindikiza tuWewe nilishakuuliza wanawake mumeahidiwa wanaume wangapi kule, maana unalumbana sana na wanaume humu kila siku ukitetea uzombi, bora wanaume wameahidiwa mabikira, wewe utakua unaliwa na wanaume wangapi kwa siku.
Hiyo ni sawa maana hata kwenye maisha ya kawaida kuna mambo ya kushirikiana na jirani na mengine hushirikiani naye.Kuna mambo ya kushirikiana na watu wengine na kuna mambo hupaswi kushirikiana na watu wengine, hata wale VATICAN sio kila jambo wanashirikiana na watu wasio wa imani yao , hili jambo la kawaida
Jamaa yenu wa kuitwa paulo ndio mweny chuki na kukandamiza wanawakw mpaka mkafuta maandiko....Alikataa hata mwanamke kuuliza swali kanisani kama sio kukandamiza haki za wanawake.Huyo aliyekwambieni hivo ndo kazingua sasa, usipokipenda kitu haimaanishi unakichukia. Mi mkristo ila naona kila mmoja ana haki ya kuchagua Imani aitakayo na wala sioni kama ni kosa kuchagua ukipendacho.
Jamaa yenu wa kuitwa Allah ndo anatengeneza chuki kuwaambieni kwamba asiye muislam ana chuki na uislam
Waarabu ni wapumbavu, wao walikuwa wanashangiliaMbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
😂😂😂😂Mbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
Usichanganye maamuzi ya nchi kwa nchi, na maamuzi ya kiimani, kila imani inavutia upande wake na kuwaona wengine ni wakosefu, waislamu wamekuwa wazi kwenye imani yao, hawataki unafiki kama wengine, kujifanya wanapenda imani fulani isiyo yao kumbe ni uongo wa mchana kweupeeHiyo ni sawa maana hata kwenye maisha ya kawaida kuna mambo ya kushirikiana na jirani na mengine hushirikiani naye.
Fikiria hii,
We unafundisha watoto wako kujitenga na kuwachukia watoto wa jirani na kuwapa majina na sifa mbaya hao watoto wa jirani, mbaya zaidi unawaambia, "msitengeneze urafiki nao kwa sababu wana chuki na nyinyi" halafu hao watoto wako wakipata matatizo unawaambia waende kuomba msaada kwa hao uliotaka wawachukie. Utakuwa timamu kweli?
Allah wenu ndo anapenda sana nyinyi kuchukia watu wasio wa dini yenu, sisi wakristo hatufundishwi chuki hiyo.
Huwezi kuwafahamu kwasababu unawaona ni watu ambao hawafanyi makosa ili ni tatizo kubwa ulilo nalo kuliko la Hamasa, alie ua watanzania tutamlaani, sawa na anaefanya binadamu wengine kama wanyama na kuwafanya ni watumwa wakeHao mi siwafamu
Nasikitika kwa kitendo cha Magaidi wa HAMAS kuuwa Nduguzangu wa Kitanzania wawili.
Hao unaowataja Mimi sijawahi hata kuwaona.
Kumbe hujui Yahudi anajua mateka wako wapi na wanao Uwezo wa kuwakomboa!Mateka hawajapatikana bado!!?
Kwani mchina hafanyi biashara na mataifa ya kiislamu? ndio maana nikasema wewe unaandika ujinga mtupu , mchina anauza bidhaa kwenye mataifa hayo na yeye ananua mafuta huko, kwahiyo wanategemea sana kwenye kuendesha nchi zao, linapo kuja suala la kiimani ni habari nyingine, mbona nyie kutwa mna tutangazia hapa kuwa asiye muamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wake atachomwa, hapa sisi tusio waamini mnatuweka kwenye kundi gani kama sio wakosefu na wapagani? ebu acheni hoja za kitotoLicha ya kwamba Mchina ni kafiri kama ambavyo huwa mnatukana kila asiyemuabudu huyo muarabu, ila mumekwenda kuomba awasaidie, yule hatosaidia kitu, suluhisho acheni shobo kwa Myahudi, aise hupiga bila huruma, hiyo dini yenu imebuniwa na huyo muarabu na kukuta Wayahudi wapo, hamuwezi kuwafuta.
Watakomboa maiti sio mateka, ni lazima wakubaliane na Hamas namna ya kubadilisha mateka , kinyume na hapo wataendelea kuokota miili ya matekaKumbe hujui Yahudi anajua mateka wako wapi na wanao Uwezo wa kuwakomboa!
Ila wakiwakomboa hawata pata kisingizio cha kuibonda hamas na kuwafanya mtoto Sio rizki? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
HAO Yahudi hawaja kitu kinaitwa makubaliano na wanao waita magaidi!Watakomboa maiti sio mateka, ni lazima wakubaliane na Hamas namna ya kubadilisha mateka , kinyume na hapo wataendelea kuokota miili ya mateka
We jamaa haupo serious hata kidogo, yaani ukristo unakandamiza wanawake? Kwenye uislam hulioni hilo! Kweli linyani halionagi kundu lake😂😂....Jamaa yenu wa kuitwa paulo ndio mweny chuki na kukandamiza wanawakw mpaka mkafuta maandiko....Alikataa hata mwanamke kuuliza swali kanisani kama sio kukandamiza haki za wanawake.
Qur an ilishasema nyie sio marafiki zaidi ya nyie kujipendekeza kwa wahayudi wa mchongo ,wewe una chuki kwa 100% haijalishi utasema nn kikubwa ni Manaswar tu.
Hamas ni Wapalestina na wapo katika ardhi yao. unataka waondoke kwenda wapi?Mbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
Inaelekea una dunia yako peke yako,jana palikua na habari toka white house kwamba miss wowote patakua na cease fire na mateka baadhi kutolewa,hao wayahudi wako wanakung'utwa maghorofa ya gaza,wanakimbia hovyoKumbe hujui Yahudi anajua mateka wako wapi na wanao Uwezo wa kuwakomboa!
Ila wakiwakomboa hawata pata kisingizio cha kuibonda hamas na kuwafanya mtoto Sio rizki? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]