Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Dola gani imara aliyotengeneza Mudy wakati wafuasi wake wanatengeneza vikundi vya kigaidi vya kiislamu na kuua watu ovyo?
Ingia kwako hapo angalia ni vitu gani alivyotengeneza waarabu kama haujakuta Quran, tende, mkojo wa ngamia, Kanzu na maji ya zamzam.
Hivyo ndivyo wafuasi wa Mudy wasiojua kusoma na kuandika ndiyo wanafanya.
Dunia inatambua muda katengeneza dola gani , wewe kutotambua sio tatizo , mpaka leo unaangaika kumtaja hapa ni kazi ya Mudi hiyo, kwahiyo wewe na Tanzania yako unakaribia hata robo ya uchumi wa Saudi Arabia? acha chuki za kipuuzi basi
 
kwanza mlijaribu kumlilia kafir Putin ikashindikana, sasa mumekwenda kwa kafir Mchina, ba huko hamna kitu kipya atafanya, mnachopaswa kufanya ni kuwatuliza hayo magaidi yenu yatemane na Myahudi, endeleeni kuchinja Wakristo maana wao kidogo huwaacha mfanye mtakalo, lakini Myahudi ni balaa, hata huyo Mchina hutembeza sana kichapo kwa mazombi yenu, hata Mrusi kuna kipindi aliwapiga sana nyie, hao ni wrong number.
Putin kasaidiwa na Iran , yule mshirika mzuri ndio maana Iran hakusikiliza kelele za US na dada zake, alitoa Drone za kutosha ambazo ziliua wanajeshi na vifaa vingi vya Ukraine, huu ushirikiano utaendelea kwa nchi nyingine kama Uchina
 
Kafiri sio tusi hii ndio shida ya watu msioelewa , ni kweli mchina ni kafiri lakini hakuna mahali ambapo tunaambiwa hatuwezi kufanya nao biashara wala kushirikiana kwenye mambo ya kibinadamu, Uislamu unatambua haki za binadamu ambaye anaheshimu haki za muislamu , labda nikufundishe maana hujui kitu hukisikia kafiri maana yake ni mpingaji wa imani lakini sio adui mpaka atafute uadui

Mumeambiwa muue makafir wote, kila mtu asiyeabudu huyo muarabu huitwa kafir, ila sasa akbar mliyemtegemea awasiadie kwenye kuua Wayahudi kawakimbia, mnamfuata kafir Mchina.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Putin kasaidiwa na Iran , yule mshirika mzuri ndio maana Iran hakusikiliza kelele za US na dada zake, alitoa Drone za kutosha ambazo ziliua wanajeshi na vifaa vingi vya Ukraine, huu ushirikiano utaendelea kwa nchi nyingine kama Uchina

Hehehe huyo kafir Putin kuna wakati aliwatafuna sana nyie watu, mpaka mkanyooka, huwa hamumpelekei shobo, kipindi hicho nilikua namkubali sana sema kakngeuka kwenye huu uvamizi wa Ukraine, ila hapo pa kutembeza kichapo kwenu nyie, nilimkubali sana.
 
Hawakuwa wauaji walikuwa strong kwasababu zile zilikuwa ni vita, unataka ucheke na kima kwenye uwanja wa vita !!!! utakuwa huna akili , Mohamedi alikuwa ni kamanda mkuu wa vita
Ndio maana mmerithi sasa ugaidi wake, kwa Yesu ni amani tu.
 
Tumerithi ukomavu sio unyonge, wewe unafikiri bila kumwaga damu huyo Yesu angezaliwa pale? ile nchi isinge kuwepo na pengine Yesu angezaliwa Shinyanga
 
Dunia inatambua muda katengeneza dola gani , wewe kutotambua sio tatizo , mpaka leo unaangaika kumtaja hapa ni kazi ya Mudi hiyo, kwahiyo wewe na Tanzania yako unakaribia hata robo ya uchumi wa Saudi Arabia? acha chuki za kipuuzi basi
Saudia Arabia imekuwa tajiri kwasababu inapokea pesa nyingi sana kutoka kwa wajinga wanaenda kumponda jiwe shetani kila mwaka.
Unapanda ndege, unafika Saudia Arabia, unalala kwenye hotel za Saudia Arabia. Asubuhi unaokota mawe unaenda kumponda jiwe shetani. Ukipiga hesabu umetumia zaidi ya milion 4 halafu bado ni masikini. Shetani unaweza kumponda mawe? Mchawi mwenyewe huwezi kumponda mawe huyo shetani unayemsikia utamponda mawe. Wajinga ndiyo waliwao
Unarudi halafu unasema una akili sana😁😁😁😁😁😁
 
Hehehe huyo kafir Putin kuna wakati aliwatafuna sana nyie watu, mpaka mkanyooka, huwa hamumpelekei shobo, kipindi hicho nilikua namkubali sana sema kakngeuka kwenye huu uvamizi wa Ukraine, ila hapo pa kutembeza kichapo kwenu nyie, nilimkubali sana.
Russia kuna kanchi kuna vinchi vina waislamu wa kutosha, kwahiyo Putin ni kafiri lakini ni mshirika mzuri kuliko US , Putin ana aminika ndio maana hata wakati wake wa shida Iran kwa moyo mkunjufu amempa silaha, vile vile hakuna nchi ya kiislamu ilio muwekea vikwazo vya kipuuzi kama vya EU
 
Saudia Arabia imekuwa tajiri kwasababu inapokea pesa nyingi sana kutoka kwa wajinga wanaenda kumponda jiwe shetani kila mwaka.
Unapanda ndege, unafika Saudia Arabia, unalala kwenye hotel za Saudia Arabia. Asubuhi unaokota mawe unaenda kumponda jiwe shetani. Ukipiga hesabu umetumia zaidi ya milion 4 halafu bado ni masikini. Shetani unaweza kumponda mawe? Mchawi mwenyewe huwezi kumponda mawe huyo shetani unayemsikia utamponda mawe. Wajinga ndiyo waliwao
Unarudi halafu unasema una akili sana😁😁😁😁😁😁
Qatar nae anapokea pesa ya nani? Tanzania hata robo ya uchumi wa Qatar hufiki, kiufupi wapo waarabu wenye fedha na ukwasi mkubwa, ambao hakuna Mtanzania atakae thubutu hata kuwakaribia, acha wivu mzee
 
Hakuna hiyo sheria kuna adhabu za kutofunikwa kichwa lakini sio kifo acha uzushi, kama huko kwenye nchi nyingine mama anaweza kutembea matako wazi mbele ya wanae hilo watajua wenyewe
Kweli wewe unaota.
Waislamu wamegawanyika katika makundi mawili
1. Radical Muslim
2. Moderate Muslim
Wewe muislamu mweusi utaelewa wapi dini yenyewe umeletewa na unaishi kwenye mchanganyiko wa imani tofauti. Zanzibar ukila mchana kipindi cha ramadhani unachapwa viboko na ukiwa mbishi wanakuua.

Sheria za kiislamu
  • Mwanamke usipofunika kichwa unauwawa. Iran mwanamke ameuwa hajafunika kichwa, wanawake wengine wakaandamana kichwa wazi. Wakahukumiwa kifo kwasababu hajafunika kichwa
  • Ukiacha uislamu ukahamia dini nyingine, adhabu yake unakatwa kichwa
  • Ukimkashifu Allah au Mudy unahukumiwa kifo
  • Mwanamke akimbusu mwanaume hadharani unahukumiwa kifo. Hii utabisha kuna mwanamke alihukumiwa kifo watu wakaandamana wakabadilisha.
  • Mwanamke haruhusiwi kusoma
  • Mwanamke haruhusiwi kuendesha gari
  • Mwanamke haruhusiwi kufanya kazi ya kujiingizia kipato. Yeye ni nyumbani
  • Mwanamke haruhusiwi kuendesha gari
  • Mwanamke haruhusiwi kucheza mpira
  • Mwanamke haruhusiwi kuangalia mpira. Mfano hai Afghanistan na Saudia Arabia (kipindi cha nyuma)
 
Lete hiyo sheria iwe kwenye Quran au nchi yeyote ya kiislamu kuwa asie vaa hijabu anauwawa? acha maneno ya mitaani mzee Uslamu una adhabu nyingi kulingana na kosa husika, badala ya kuleta vitu vya maana unaleta habari za mipira kwani lazima kila jamii ipende mpira ? mbona wazungu wanaruhusu ushoga lakini hapa kwetu watu hawautaki? acha zako wewe
 
Qatar nae anapokea pesa ya nani? Tanzania hata robo ya uchumi wa Qatar hufiki, kiufupi wapo waarabu wenye fedha na ukwasi mkubwa, ambao hakuna Mtanzania atakae thubutu hata kuwakaribia, acha wivu mzee
Nione wivu waarabu. Kwa lipi?
 
  • Ulikuwa wapi kipindi yule binti anauwawa Iran hajafunika kichwa? Unajivunga hauelewi kbsa wakati Iran maandamano yalikuwa mengi sana.
  • Wanawake wenzao wakaandamana kichwa wazi nao wakahukumiwa kifo kwa kukiuka maadili ya uislamu. Ni zaidi ya watano walihukumiwa kifo kwa kutofunika kichwa. Bado unabisha
  • Kuna mwanamke mwingine kwenye nchi ya kiislamu alimbusu mwanaume hadharani akahukumiwa kifo.
Wewe uislamu umeletewa hujui uislamu ulivyo lbd nikukatie visa ukaishi Afghanistan au Iran ndiyo utajue uislamu ulivyo
 
Nani kakwambia ile ilikuwa adhabu yake ? serikali ya Iran ilishatoa tamko kuwa alikufa kwenye mazingira gani , wala hakuuliwa kama adhabu acha uongo wakati kila mtu anajua kinacho endelea , kutovaa hijabu ni kosa Iran ila adhabu yake sio kifo
 
Nione wivu waarabu. Kwa lipi?
Acha wivu umetajiwa saudi Arabia ukaanza porojo kuwa tunakwenda Hija tunawachangia, haya tuambie Qatar na UAE nao tunawachangia kwenye Hija? ndio maana nikakwambia acha wivu alie kuzidi kakuzidi
 
Russia kuna kanchi kuna vinchi vina waislamu wa kutosha, kwahiyo Putin ni kafiri lakini ni mshirika mzuri kuliko US , Putin ana aminika ndio maana hata wakati wake wa shida Iran kwa moyo mkunjufu amempa silaha, vile vile hakuna nchi ya kiislamu ilio muwekea vikwazo vya kipuuzi kama vya EU

Hao waislamu wa Urusi walishakubali kupunguza uzombi na kukaa kwa kutulia, waliliwa sana na kafir Putin ambaye juzi mlimtegemea awaokoe kutoka kwa kipigo cha Myahudi, na hata kafir Mchina huwatafuna sana nyie watu hadi mumekaa kwa kutulia, naye mnamtegemea awaokoe.
Suluhu ni nyie kuacha shobo kwa Myahudi, yule hupiga hadi balaa, akbar wenu mliyekua mnamuita alishakula kona.
 
Back
Top Bottom