Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

Scholarships ngapi mmepata? Fursa za kiuchumi zipi mmeleta zimeajiri watu wangapi?
Kama zote hizo hamjaleta mjue kabisa kuwa hao wanaokesha kumsikiliza Pole Pole wana hoja!
 
Kila baada ya dakika kumi unaanzisha uzi kuhusu Polepole wewe ndiye umeguswa zaidi na press ya HP ndiyo maana hutulii. Polepole amewajambisha mishuzi inawatoka ovyo maccm
Naona sindano inakuingia
 
Huko Lumumba maji yamelowana sio poa mnaharisha huku mnatembea
 
Scholarships ngapi mmepata? Fursa za kiuchumi zipi mmeleta zimeajiri watu wangapi?
Kama zote hizo hamjaleta mjue kabisa kuwa hao wanaokesha kumsikiliza Pole Pole wana hoja!
Unataka mtu akuletee ajira wakat ww unashinda unasklilza polepole usku badala muombe scholarship nyny mnatumia bando kuangalia udaku....poor you
 
Mambo mengi sana ukiacha hili la Polepole yapo kwa namna tofauti kabisa na hao mataifa mengine.
 
1. Wewe umejuaje kama Polepole kaongea na alichokiongea ni uongo?
2. Umeandika ukiwa huko kwenye maskolashipuu au tupo pamoja hapa Kishumundu??
 
We uko nchi gani unapoandika huu uzi mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ CCM mnatamani hata mtupangie jinsi ya kupumua asee hata kama sisi ni wajinga jamani.

Conspicuous consumption​

 
Tuambie kwanza nani kakutuma?
 
Mtoa mada , Matako yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ