sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
Kwa hiyo kusoma Canada ndio umeona jambo la Maana kwako,Hata sisi tunaandaa mashamba!Nipo nasoma PhD Canada full sponsorship
Si hii ya uchawa?Wewe umeshapata fursa ngapi mpaka sasa
Nadhani we Bado mdogo kiumri,humu kuna mchanganyiko wa watu wa Rika mbalimbali, wengine tunakula pension mkuu,pole na kusoma huko!Usku ni muda mzuri wa kuomba scholarship lakini watu wanakesha wanaskiliza UMBEA wa polepole
Kuwa na kitu,kama hebu taja!Bando umetuwekea Wewe?Tabia zinaonyesha hamna kitu
Ninashangaa...Tunaomsiikiliza ni sisi ila Mnaoteseka ni ninyiMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Ana hoja si za kupuuzwa, mabadiliko huanzia hata kwa vichaa, maana Mungu humtumia amtakaye,hamtumii pia ampendaye!Ooooh Shikamoo mzee wangu.
Ila mzee wangu achana na polepole
Ukipata wewe hizo fursa, pamoja na mkeo, watoto wako, ndugu zako inatosha....Tafuten fursa siyo mnamsikiliza mtu ambaye hajulikani alipo huo ni utahira
Unatafuta scholarship passport kuipata mpka uhonge wahuni wa mtandao ndo upate hiyo hela ya kuwahonga unaipata wapi?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kama Watawala hawaja andaa mazingira sawa na ufisadi kuongezeka unatarajia wasikilize nini?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Fursa ya kupandishwa lori kama ng'ombe?Hiyo ni fursa
Kaka mungu akubariki umeongea kwa uchungu sana !!Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮