Amina ๐Kaka mungu akubariki umeongea kwa uchungu sana !!
Ndiomana nchi kwetu watu weupe Waindi Waraabu ni matajiri sana !!
ivi Mwarabu na Muindi nawao Upumbavu wa kukesha kusikia Umbea umbea wanautoa wapi
ni sisi Weusi tu ujinga ujinga ndio umejaa vichwani mwetu.
Polepole NIDA INEC ujinga
CCM wameanza kushinda Chaguzi yeye mwenyewe Polepole bado ajazaliwa,,
muongo muongo tu Polepole NIDA imeanza lini CCM ipo miaka mingapi kwasasa!!!
Usiteseke sana Tafuta Lishangazi kama lile la mjomba Lisu pale air port la Kizungu Utatoboa tu Mishangazi sikuizi inalea mpaka familia!!Unatafuta scholarship passport kuipata mpka uhonge wahuni wa mtandao ndo upate hiyo hela ya kuwahonga unaipata wapi?
Anapeleka kimtaji chako cha million 5 kwenye biashara tra wanakuangalia wanasema hiiiii! bhagosha!!!! Kusurvive mpka uwe CHAWA unless uwe winga
Amani ipi unaongelea kwaiyo Tanzania sio kisiwa cha amani tena Congo Sudan kunafanana na kwetu!!! Chuki zenu mtazinywa tu lkn Rais Samia Suluhu Hassan ni mpango wa mungu 2025 to 2030Huwezi kukesha ukiwaza mambo ya kimataifa wakati ulipo panafuka moshi hakuna amani
ELIMU Tanzania haina msaada ,ungeendelea na UCHAWA ungekulipa mara 100 kuliko kusoma PhDNipo nasoma PhD Canada full sponsorship
MPANGO WA MUNGU?Amani ipi unaongelea kwaiyo Tanzania sio kisiwa cha amani tena Congo Sudan kunafanana na kwetu!!! Chuki zenu mtazinywa tu lkn Rais Samia Suluhu Hassan ni mpango wa mungu 2025 to 2030
Mbona amani ipo tele tafutenii helaHuwezi kukesha ukiwaza mambo ya kimataifa wakati ulipo panafuka moshi hakuna amani
Mungu abariki kazi ya mikono yako Ushike wengi na mshike wengi japo bei ishuke kidogo uku mjini tufuko tudogo 5000 !! Lkn tunawashulu mungu awabariki zaid.Atafutae hachoki akichoka ameshapata mimi mwenyewe niko uku nakusanya senene na bado sijakata tamaa leo ntatoka na senene wakutosha nivipaombele tu mzee babaโฆ
Matako yako na ya Mama yako yamefanana sanaBadala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Uko sahihi kabisaMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Bado hujajua deal zote, Biashara zote, na kazi Zote Pengine fahamu hivi Kuna kazi,Shughuli, na deal nyingi zinazokuwa impacted na Siasa na Kila kitu kinacho Husu siasa Dunia ni kubwa... Kuna Mtu anatumia Umbeya Kuingiza Ela,Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Hii nchi ina wajinga wengi sana, mtu anajiri watu kama wewe eti wapost ujinga kama huuMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Nambie website moja ya scholarship, nambie scholarship yoyote na hata link moja unayoijua Kuongea ni Rahisi Uliambiwa scholarship inatafutwa Kwa Masaa 10๐ ๐ Masaa 2 yanakutosha ku apply kama Link unayo na ukaendelea na shughuli nyingine Na Kama unatafuta michongo Google Bas You are entirely stupidMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kwa kigezo gani unapata nini kwa kupanda lori kama ng'ombe?Kuliko kulala unaangalia press za polepole Bora upande lor
Mama anaijenga nchi lkn chuki zenu tu ndio tatizo poleni tu chuki zilianzia kwa Jakaya kikweteMPANGO WA MUNGU?
Muaji hana ushirika na MUNGU
Mwizi hana ushirika na MUNGU
Pole pole kawafanya vibaya sana.Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ