INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Mbona una majibu ya ovyo au kwasababu biashara sio yako wewe unakinga tu mwisho wa mwezi embu jibu vizuri Wateja eboo..

Sent using Jamii Forums mobile app
wala hata sio majibu mabovu hayo. hapo nimempa mteja discount ya nguvu. sasa kama mteja akishindwa discount yangu basi nimempa option nyingine. kuna wateja wengine bajeti zao wanazijua hawawezi kununua tairi ya 100,000 anataka matairi ya 50,000 sasa mimi kama muuzaji ntamshauri vipi?? inabidi nimwambie aya chukue hayo hayo ya kichina.
 
IMG_20160708_170229.jpg
 
Bei ya 265/70 R16 bei gani mkuu ni za kwenye prado
zipo mkuu. bei ni 340,000 kwa moja. zimebaki 4 tu stock. hio ni ofa ya ukweli huwezi pata tairi mpya ya bridgestone kwa bei hio, kama kweli unahitaji nitafute kwenye simu 0689-866100. 0717-518359. wahi mapema kabla hazijaisha.
 
zipo mkuu. bei ni 340,000 kwa moja. zimebaki 4 tu stock. hio ni ofa ya ukweli huwezi pata tairi mpya ya bridgestone kwa bei hio, kama kweli unahitaji nitafute kwenye simu 0689-866100. 0717-518359. wahi mapema kabla hazijaisha.
Nitakucheki kesho mkuu
 
wadau wanaotaka matairi za malori wanipigie simu 0689-866100, 0717-518359. bei zimepunguzwa sasa ni 950,000 kwa tairi za super single.
 
Hizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!

Haya majibu makavu ni moja ya picha mbovu kabisa kwa mteja. Kama umepata muda wa kuandika thread na kuattach picha unashindwa nini kuweka anachoomba mteja?

Unafikiri wateja wote wanafanana mpaka wakupigie simu?

Unazidiwa customer care hata na Abuu muuza majeneza pale Moshi anakuambia kwa ustaarabu "karibu tenaaa mpendwa mteja....."

Sent using Jamii Forums mobile app
Point

Sent from Siemens Social Phone
 
Back
Top Bottom