- Thread starter
- #381
Bridgestone 195/65R15 bei yake ni 180,000 kwa moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bridgestone 195/65R15 bei yake ni 180,000 kwa moja.
Mbona una majibu ya ovyo au kwasababu biashara sio yako wewe unakinga tu mwisho wa mwezi embu jibu vizuri Wateja eboo..bosi hizo ni bridgestone super brand tena bei zake zimepunguzwa sio zile bei za zamani, kama utashindwa kachukue tairi za kichina.
wala hata sio majibu mabovu hayo. hapo nimempa mteja discount ya nguvu. sasa kama mteja akishindwa discount yangu basi nimempa option nyingine. kuna wateja wengine bajeti zao wanazijua hawawezi kununua tairi ya 100,000 anataka matairi ya 50,000 sasa mimi kama muuzaji ntamshauri vipi?? inabidi nimwambie aya chukue hayo hayo ya kichina.Mbona una majibu ya ovyo au kwasababu biashara sio yako wewe unakinga tu mwisho wa mwezi embu jibu vizuri Wateja eboo..
Sent using Jamii Forums mobile app
210,000 kwa moja. hizi ni Bridgestone mkuu205/70R15 pesa ngapi
zipo Bridgestone 255/60R18- bei 320,000 kwa moja. nazo zinafunga vizuri. piga simu 0689866100 nikuwekee oda.255/55 R 18 bei gani?
IST INA SIZE MBILI MKUU. KUNA 195/65R15 NA 205/65R15 ZOTE BEI ZIMEPUNGUZWA. MOJA NI 190,000 TU. HIZI NI BRIDGESTONE.
zipo mkuu. bei ni 340,000 kwa moja. zimebaki 4 tu stock. hio ni ofa ya ukweli huwezi pata tairi mpya ya bridgestone kwa bei hio, kama kweli unahitaji nitafute kwenye simu 0689-866100. 0717-518359. wahi mapema kabla hazijaisha.Bei ya 265/70 R16 bei gani mkuu ni za kwenye prado
Nitakucheki kesho mkuuzipo mkuu. bei ni 340,000 kwa moja. zimebaki 4 tu stock. hio ni ofa ya ukweli huwezi pata tairi mpya ya bridgestone kwa bei hio, kama kweli unahitaji nitafute kwenye simu 0689-866100. 0717-518359. wahi mapema kabla hazijaisha.
Bridgestone 215/70R16. bei 270,000 kwa moja. Ofa nzuri sana hio. nitafute kwenye simu 0689-866100. 0717-518359.215/70 R 16 naomba bei.
PointHizi lugha za kizamani ndo zinawakoseshaga wateja. Unatakiwa kumhudumia mteja hata kama hayuko serious the way u term it. Unafahamu ni lini atakuwa potential customer? Muwe mnaenda japo tuition za Customer care management!!
Haya majibu makavu ni moja ya picha mbovu kabisa kwa mteja. Kama umepata muda wa kuandika thread na kuattach picha unashindwa nini kuweka anachoomba mteja?
Unafikiri wateja wote wanafanana mpaka wakupigie simu?
Unazidiwa customer care hata na Abuu muuza majeneza pale Moshi anakuambia kwa ustaarabu "karibu tenaaa mpendwa mteja....."
Sent using Jamii Forums mobile app