INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

275/70R16- TAIRI ZA PRADO/NISSAN PATROL - Hizi bei gani?
BRIDGESTONE 275/70R16 NI 410,000 KWA MOJA MKUU. PUNGUZO IPO. BEI NZURI SANA KWA MATAIRI IMARA. NIPIGIE SIMU 0689-866100
 
Mkuu..scania ya tani 15 hadi 20 inatumia tairi size ngapi? Bado unazo? Bei yake ikoje kwa sasa?
 
Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.

Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam, ofisi ya tazara karibu na kiwanda cha sigara.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.

View attachment 355188[/QUOTE
Nataka Size 15; Nne zote; discount yako?
 
Back
Top Bottom