Matajili Azam nawakumbusha Ibenge yupo tu. Au Asec wana kocha mzuri sana hawana hela

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Eti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu.

Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa klabu kongwe. Leo mnataka miujiza gani.

Aliyekula asilmia hapa Hana huruma kabisa. Timu bovu kuliko msimu wowote ule. Uchafu tupu.

Sitaki kuongea mengi Azam ibenge timu yake Haina makazi mchukueni. Au yule msauzi aliyoko arabuni. Alafu nyie ndio matajili wa bongo ata kocha wa Asec kweli atawashinda.? Kuweni siliasi.
 
We Ni Nani tuachie timu yetu

Hii Ni timu ya familia hatukuanzisha hii timu ili kupata mashabik

Nashangaa wewe umetoka wapi ?

Sisi Kama wanafamilia tulianzisha hii Tim kwa ajil ya wafanyakaz wetu wapate furaha jion baada ya kazi
 
Dah! Nimecheka sana aisee! Ila nakumbuka ndio lilikuwa lengo kuu la kuanzisha hiyo timu.
 
Tatizo la wabongo Ni upumbavu wa kulazimisha kila mtu ashabikie Yanga na Simba.

Kwenye mada.
Huyu kocha alianza kuonyesha wasiwasi kwenye pre season kila baada ya mechi akihojiwa anasema hajaridhishwa na viwango vya wachezaji.....nilikuwa na shangaa Sana kocha gani huyu?

Huyu jamaa wamemuokota wakaleta kupiga hela wakina Popat wanakula pesa za ice cream kiulani tu,angalia kocha Hana mbinu mbadala timu imezidiwa hajui afanye nini na wakati gani? Ni aibu.

Unampanga Golkipa namba Tatu na Golkipa mzoefu unaemlipa pesa nyingi unamuweka benchi....wachezaji wa Kati wanaolipwa pesa nyingi unawaweka benchi unaweka kina Manyama huu Ni utani na kuidhalilisha timu,timu Inatakiwa iwe na watu wenye uchungu ambao watawapa uzoefu wageni katika benchi la ufundi.
Sasa unaona Ni Ongala na Moris kuliko huyu Dabo....huyu kocha Ni Boksi kabisa kaingia na uwoga Mwingi unajaza viungo mkabe tu mkichoka mnapigwa chuma.

Azam ijitafakari Kuna watu wameamua kuisapoti kibishi maana hii nchi Ni mbovu Sana kimaendeleo ya soka...watu 65M hatutakiwi kushabikia timu mbili....inabidi yawepo mabadiliko na hayaji bila kubeba vikombe.
Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi maana wacheji hawana moraali ya kuipigania jezi ya Azam Fc na kila kitu wanapata....anzeni na kocha hamna kocha hapo.
 
Mimi namsubiria kocha wa robo robo fc, maana naye naona kila mara anaweweseka kama huyu dabo dabo wa azam fc. Mara wiki tatu za pre season hazitoshi, mara muunganiko bado.
Robatinho ajue tu kwamba uto hatakubali kupasuka mara ya pili
 
We Ni Nani tuachie timu yetu

Hii Ni timu ya familia hatukuanzisha hii timu ili kupata mashabik

Nashangaa wewe umetoka wapi ?

Sisi Kama wanafamilia tulianzisha hii Tim kwa ajil ya wafanyakaz wetu wapate furaha jion baada ya kazi
Kweli hii timu haiwahusu mashabiki,heri wakomae kivyao
 
Tatizo la wabongo Ni upumbavu wa kulazimisha kila mtu ashabikie Yanga na Simba.

Kwenye mada.
Huyu kocha alianza kuonyesha wasiwasi kwenye pre season kila baada ya mechi akihojiwa anasema hajaridhishwa na viwango vya wachezaji.....nilikuwa na shangaa Sana kocha gani huyu?

Huyu jamaa wamemuokota wakaleta kupiga hela wakina Popat wanakula pesa za ice cream kiulani tu,angalia kocha Hana mbinu mbadala timu imezidiwa hajui afanye nini na wakati gani? Ni aibu.

Unampanga Golkipa namba Tatu na Golkipa mzoefu unaemlipa pesa nyingi unamuweka benchi....wachezaji wa Kati wanaolipwa pesa nyingi unawaweka benchi unaweka kina Manyama huu Ni utani na kuidhalilisha timu,timu Inatakiwa iwe na watu wenye uchungu ambao watawapa uzoefu wageni katika benchi la ufundi.
Sasa unaona Ni Ongala na Moris kuliko huyu Dabo....huyu kocha Ni Boksi kabisa kaingia na uwoga Mwingi unajaza viungo mkabe tu mkichoka mnapigwa chuma.

Azam ijitafakari Kuna watu wameamua kuisapoti kibishi maana hii nchi Ni mbovu Sana kimaendeleo ya soka...watu 65M hatutakiwi kushabikia timu mbili....inabidi yawepo mabadiliko na hayaji bila kubeba vikombe.
Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi maana wacheji hawana moraali ya kuipigania jezi ya Azam Fc na kila kitu wanapata....anzeni na kocha hamna kocha hapo.
Uko sahihi binafsi naona ili ligi iwe Bora lazima kuwe na Timu angalau 5 au 6 zenye ubora wa juu
 
Eti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu.

Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa klabu kongwe. Leo mnataka miujiza gani.

Aliyekula asilmia hapa Hana huruma kabisa. Timu bovu kuliko msimu wowote ule. Uchafu tupu.

Sitaki kuongea mengi Azam ibenge timu yake Haina makazi mchukueni. Au yule msauzi aliyoko arabuni. Alafu nyie ndio matajili wa bongo ata kocha wa Asec kweli atawashinda.? Kuweni siliasi.
huyu kaletwa na yusufu mwenyewe,kwahiyo atajila ganji mwenyewe?hebu punguza kujamba
 
Back
Top Bottom