William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
[emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sanaWakili wa Fei Toto katika ubora wako.
Dah! Nimecheka sana aisee! Ila nakumbuka ndio lilikuwa lengo kuu la kuanzisha hiyo timu.We Ni Nani tuachie timu yetu
Hii Ni timu ya familia hatukuanzisha hii timu ili kupata mashabik
Nashangaa wewe umetoka wapi ?
Sisi Kama wanafamilia tulianzisha hii Tim kwa ajil ya wafanyakaz wetu wapate furaha jion baada ya kazi
Kafungwa Azam ila wanaolia imeingia inawauma ni Makolo Maandazi Madunduka Fc
Mimi namsubiria kocha wa robo robo fc, maana naye naona kila mara anaweweseka kama huyu dabo dabo wa azam fc. Mara wiki tatu za pre season hazitoshi, mara muunganiko bado.Tatizo la wabongo Ni upumbavu wa kulazimisha kila mtu ashabikie Yanga na Simba.
Kwenye mada.
Huyu kocha alianza kuonyesha wasiwasi kwenye pre season kila baada ya mechi akihojiwa anasema hajaridhishwa na viwango vya wachezaji.....nilikuwa na shangaa Sana kocha gani huyu?
Huyu jamaa wamemuokota wakaleta kupiga hela wakina Popat wanakula pesa za ice cream kiulani tu,angalia kocha Hana mbinu mbadala timu imezidiwa hajui afanye nini na wakati gani? Ni aibu.
Unampanga Golkipa namba Tatu na Golkipa mzoefu unaemlipa pesa nyingi unamuweka benchi....wachezaji wa Kati wanaolipwa pesa nyingi unawaweka benchi unaweka kina Manyama huu Ni utani na kuidhalilisha timu,timu Inatakiwa iwe na watu wenye uchungu ambao watawapa uzoefu wageni katika benchi la ufundi.
Sasa unaona Ni Ongala na Moris kuliko huyu Dabo....huyu kocha Ni Boksi kabisa kaingia na uwoga Mwingi unajaza viungo mkabe tu mkichoka mnapigwa chuma.
Azam ijitafakari Kuna watu wameamua kuisapoti kibishi maana hii nchi Ni mbovu Sana kimaendeleo ya soka...watu 65M hatutakiwi kushabikia timu mbili....inabidi yawepo mabadiliko na hayaji bila kubeba vikombe.
Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi maana wacheji hawana moraali ya kuipigania jezi ya Azam Fc na kila kitu wanapata....anzeni na kocha hamna kocha hapo.
Kweli hii timu haiwahusu mashabiki,heri wakomae kivyaoWe Ni Nani tuachie timu yetu
Hii Ni timu ya familia hatukuanzisha hii timu ili kupata mashabik
Nashangaa wewe umetoka wapi ?
Sisi Kama wanafamilia tulianzisha hii Tim kwa ajil ya wafanyakaz wetu wapate furaha jion baada ya kazi
Uko sahihi binafsi naona ili ligi iwe Bora lazima kuwe na Timu angalau 5 au 6 zenye ubora wa juuTatizo la wabongo Ni upumbavu wa kulazimisha kila mtu ashabikie Yanga na Simba.
Kwenye mada.
Huyu kocha alianza kuonyesha wasiwasi kwenye pre season kila baada ya mechi akihojiwa anasema hajaridhishwa na viwango vya wachezaji.....nilikuwa na shangaa Sana kocha gani huyu?
Huyu jamaa wamemuokota wakaleta kupiga hela wakina Popat wanakula pesa za ice cream kiulani tu,angalia kocha Hana mbinu mbadala timu imezidiwa hajui afanye nini na wakati gani? Ni aibu.
Unampanga Golkipa namba Tatu na Golkipa mzoefu unaemlipa pesa nyingi unamuweka benchi....wachezaji wa Kati wanaolipwa pesa nyingi unawaweka benchi unaweka kina Manyama huu Ni utani na kuidhalilisha timu,timu Inatakiwa iwe na watu wenye uchungu ambao watawapa uzoefu wageni katika benchi la ufundi.
Sasa unaona Ni Ongala na Moris kuliko huyu Dabo....huyu kocha Ni Boksi kabisa kaingia na uwoga Mwingi unajaza viungo mkabe tu mkichoka mnapigwa chuma.
Azam ijitafakari Kuna watu wameamua kuisapoti kibishi maana hii nchi Ni mbovu Sana kimaendeleo ya soka...watu 65M hatutakiwi kushabikia timu mbili....inabidi yawepo mabadiliko na hayaji bila kubeba vikombe.
Tunashindwa kuelewa mnafeli wapi maana wacheji hawana moraali ya kuipigania jezi ya Azam Fc na kila kitu wanapata....anzeni na kocha hamna kocha hapo.
Kwani waliofungwa FA na Azam miezi miwili iliyopita ilikuwa timu ganiHii Azam ingekutana na Simba ingempasua Simba ata 3.
Ha ha haKwani waliofungwa FA na Azam miezi miwili iliyopita ilikuwa timu gani
huyu kaletwa na yusufu mwenyewe,kwahiyo atajila ganji mwenyewe?hebu punguza kujambaEti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu.
Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa klabu kongwe. Leo mnataka miujiza gani.
Aliyekula asilmia hapa Hana huruma kabisa. Timu bovu kuliko msimu wowote ule. Uchafu tupu.
Sitaki kuongea mengi Azam ibenge timu yake Haina makazi mchukueni. Au yule msauzi aliyoko arabuni. Alafu nyie ndio matajili wa bongo ata kocha wa Asec kweli atawashinda.? Kuweni siliasi.