Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo.
Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile dhahabu au almasi original fungia ndani ya safe kwa muda.
Kwasababu kuna tajiri kipindi hiki atavamiwa na kuporwa vito vyake atakavyokua amevaa siku hiyo, hivyo kama atakua wamevaa vito fake itakua ahueni kwake... hii ni lazima wala asitegemee ulinzi alionao, kwani wezi sio wa kawaida na yeye atachepuka kidogo tu kutoka katika circle yake ya ulinzi na kuingia katika duka ama chumba cha kijana mjasiliamali aliekua karibu na ziara ya huyo kijana tajiri, kitendo cha kuchepuka kidogo tu hilo ndio kosa.
Ndani ya dakika moja yule tajiri akiwa katika kile chumba ama frame, atakuwa alishataitiwa na wahuni kuondoka na vito vyote, na hakuna mtu atawashuhudia wezi wakitoweka, watu watatizama wezi walikoelekea lakini hawataona dalili za hao wezi.
Mfano kuna vijana ni public figure wengine wanaongea wazi wazi kua "yeye anahela, na ukimuona yeye jua umeona hela..." Chief Godlove.
Itapendeza ujumbe huu ukimfikia kwani mfano huu katika ujumbe huu sio wa bahati mbaya.