Matajiri 17 wanaotikisa afrika

Ndio maana tunasisitiza muwaachie urithi watoto wenu acheni mambo yenu ya urithi ni elimu hizo ni tabia za watu masikini
Ishu sio kwamba elimu sio urithi mzuri, shida ni mifumo yetu sie sio mizuri.
Tunapomgeza mtu mwenye masters tukanda maandazi au kuuza makande.
Tunapopigwa bao na wenzetu ni kwenye hiyo hiyo elimu mzeya. Wewe sie tunafanya survival mode business wakatu wenzetu wanafanya developmental business.
Leo hii ukitaka kuanziaha kiwanda utafuata machinery toka huko nje ambapo wenzio wameinveat kwenye elimu ya science and technology. So huwezi kuwazidi utajiri.
Wee leo hii mifumo ya kucolle t kodi inategemea software licenses za majamaaa huko nje...nusu ya budget ya taasi yako inaenda kwenye kulipia intelectual property ya wazungu kwa nini usiwe maskini.
 
Bakhresa?
GSM?

mbona hawa hawapooo? Au wapo kwenye Top 20?
Ni mpaka wakubali kufanyiwa Assesment ya asset zao, wakigoma ina maana hakuna data , halafu mara nyingi hata hizo zinazotolewa zinakuwa ni za kupikwa na hao matajiri wenyewe , kuna faida ukitangazwa tajiri maana unakopesheka kirahisi hivyo hawataki kutoka kwenye list.
 
Ukiacha yote hayo, elimu ni haki ya msingi ya binaadamu siyo urithi hakikisha unakiachia kizazi chako sehemu ya kuanzia maisha ili waendeleze ulipoanzia iww shamba , mali au biashara siyo mtoto anaanza sifuri hiyo milele mtakuwa masikini
 
kigezo cha aina ya sarafu umekizingatia? nami nimewaza yule afisa wa sirikali aliyekutwa na Tzs 7bln nyumbani kwanini asiwemo kumbe senti ya Biden imehusika
Yaani niandike kwakuwazia Pesa za Madafu,Sasa kama tu bilioni twa Kibongo hata wakinga wa Kariakoo wanazo nyingi tu.Naongelea hizohizo za Mmarekani
 
Yani hapo mtoto Mo dewji peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…