Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hata sijaelewa post yako hii una maana gani; kama unadhani comment yangu hapo juu ni kwa sababu ya wivu basi sawa. Ila elewa kuwa MeTL haikuanzishwa na MO mwenyewe bali aliirithi. Alichofanya ni kuwa wakati wa Mkapa kuuza mashirika, yeye aliongoza kampuni ya familia yake hiyo kuyanunua mengi tena kwa bei nafuu sana.Walio na utajiri wa familia mbona wameorodheshwa, tatizo la wabongo hawapend kuwapa watu maua yao, nafikiri wivu ndio tatizo