Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

Sawa,

Hamia basi kwa matajiri na block namba zetu zote sisi masikini.
 
Unaweza shangaa ushanipiga majungu kwenye juisi ya miwa😂😂😂
Ila kweli bana unajua mtoto wa kiume kukamuliwa juisi huo ni UMAMA kwanini usinunue muwa tu ukatafuna mkuu ahahahahahah
 
Back
Top Bottom