Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

Utajiri na Umasikini ni Mindset. That's why utakuta sehemu fulani imejaa masikini na nyingine imejaa matajiri. Kamwe hawachanganyiki. Na since the only way to go is up. It's why masikini mwenye certain mindset anaweza kuwa tajiri, na always atakuwa hivyo. And it's also why masikini mwenye certain mindset hata umpe billion mwisho wa siku lazima arudi chini.

Because it's not the money nor the possessions, it's the mindset.
 
Back
Top Bottom