secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ww kila kitu unawaza siasa....
Nani anatembea na mkuu wa wilaya ya kisarawe
Mm ni mtu wa noma....Unahis kwa nn mkuu!!? Bla y sabb hapa watu watashindwa kuelew wakuunge mkono au wakupinge
MboweNani anatembea na mkuu wa wilaya ya kisarawe
Sawa tajiriHabari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...Sawa tajiri
Tajiri unaendaje sehemu chafu chafu kama Mlimani City, matajiri wenzako huwa wanaenda maduka ya Mbagala na Tandika.Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Wapuuzi wa Ccm ndivyo walivyoWw kila kitu unawaza siasa....
haya ni mambo ya kijamii
Matajiri nyie ndiyo wenye tabia mbaya na dharau za vifedha vyenu visivyo vya halali.Hata macho yenu yanonyesha hivyo.wale wanaojithamini na utu wao wanawashitukia na kuwadharau hivyo hivyoHabari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Matajiri nyie ndiyo wenye tabia mbaya na dharau za vifedha vyenu visivyo vya halali.Hata macho yenu yanonyesha hivyo.wale wanaojithamini na utu wao wanawashitukia na kuwadharau hivyo hivyo
Wenye pesa wana conference mkuu na hawahitaji kutumia nguvu sana status yao tu inawabebaWatu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...