Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Hapa ndio nammis kiduku Lio
Sio matajiri fake
 
Zingatia haya mkuu,,,

-- good looking.
-- good looking
-- good looking
-- confidence.

Popote utapata mwanamke unayehitaji..

Utakuta mtu ana pesa zake lakini ,,

-- not good looking
-- not confidence
--- wengi madomo zege.
Wanategemea gari na pesa viongee,,sasa ukimtoa nje ya gari anakuwa kama mamba nje ya maji.

Huyo mwanamke utampataje?
 
Hivi hawa matajili wa kileo wanapataje mda wa kutongoza wadada, matajili wenzio kina bill gate wapo bize hata hamu ya kunyanduana hawana
 
Kutongoza ni kujishusha hadhi sana,,maana ina include kunyenyekea,kujipendekeza,saa ingine unajibiwa dry,upo tu,,
Mimi siwezi kwakweli...

Yaan ni kazi sana..mimi nilishashindwa muda mrefu hizo habari, alafu mwisho wa siku bado umpe hela!
 
Zingatia haya mkuu,,,

-- good looking.
-- good looking
-- good looking
-- confidence.

Popote utapata mwanamke unayehitaji..

Utakuta mtu ana pesa zake lakini ,,

-- not good looking
-- not confidence
--- wengi madomo zege.
Wanategemea gari na pesa viongee,,sasa ukimtoa nje ya gari anakuwa kama mamba nje ya maji.

Huyo mwanamke utampataje?
Usisahau CHARACTER/PERSONALITY & INTELLECT .

Wakaka huwa mnadhani we are all empty boxes tunajazwa kwa material things na muonekano wa mwanaume tu ila trust me......for a lot of us, utakapofungua mdomo kuzungumza ndo tunajua kama ni NDIO au HAPANA.
 
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Pole sana,hata Mengi(R.I.P) ali hassle sana kumpata Jacq.
Hadi mwanamke ajilengeshe au wapambe wafanye ukuwadi ndio wapate madem.
 
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Hakuna tajiri mwenye muda mchafu wa kwenda kununua vitu Mlimani City au madukani kokote. Matajiri wanatuma watu kuwaletea mahitaji yao. Hata kuweka hela na kutoa kwenye simu uwa wanatuma watu.

Mtu umepata hela kidogo tu ya kununua Brevisi unaanza kuvimba na kujiita tajiri. Matajiri unawajua wewe?

Hapa kuna mawili kwanza uenda wewe ni mshamba fulani kutoka mkoa so umeona Dar ni Mlimani City tu au pili ni shule zimefungwa tunasoma topic za watoto wetu
 
Mleta mada angeleta mada kua ana dhiki na maisha yamempiga kila mtu angempa pole na kumuombea kwa Mungu ili aondokane na dhiki zake,lakini ameleta mada kua yeye ni tajiri watu wanamponda na kumuona anaongopa au anadharau! mbona hamueleweki aisee!
Unafiki ni kitu kibaya sana katika maisha!
 
Aisee una hasira na utajiri wangu!!!?
kuwa tajiri ni jambo la kawaida sio maajabu..
nawewe pambana ukiomba utafanikiwa tu...
maneno yako makali hayabadilishi facts kwamba mimi ni tajiri....
 
Uko sahihi kabisa Mkuu,matajiri kutongoza hua tunaona ni kama kujidhalilisha,
Mtu ukimwambia kua wewe ni tajiri anaumia sana sijui kwanini? wanataka kila siku kuona thd za mtu kapigika anahitaji msaada! Maisha ni kucheza na akili tu,ni simple sana.
 
Kweli kabisa wana roho za ajabu sana....
lakini pia nadhani jamii yetu ina watu wana dhiki sana....manake ukisema tu ww ni tajiri watu wanapata hasira kali automatically wanakuchukia.....
mm nimezungumzia facts halisi nilizokutana nazo mlimani city...
na jinsi ambavyo nilivyo muoga kutongoza kwenye kadamnasi....
sijaongeza kitu wala sijapunguza kitu...
 
Hakuna tajiri mwenye muda mchafu wa kwenda kununua vitu Mlimani City au madukani kokote. Matajiri wanatuma watu kuwaletea mahitaji yao. Hata kuweka hela na kutoa kwenye simu uwa wanatuma watu.

Mtu umepata hela kidogo tu ya kununua Brevisi unaanza kuvimba na kujiita tajiri. Matajiri unawajua wewe?

Hapa kuna mawili kwanza uenda wewe ni mshamba fulani kutoka mkoa so umeona Dar ni Mlimani City tu au pili ni shule zimefungwa tunasoma topic za watoto wetu

Labda angesema ana hela, ila suala la utajiri nadhan anatania!

Uongo uongo ndugu zangu!
 
Mleta mada angeleta mada kua ana dhiki na maisha yamempiga kila mtu angempa pole na kumuombea kwa Mungu ili aondokane na dhiki zake,lakini ameleta mada kua yeye ni tajiri watu wanamponda na kumuona anaongopa au anadharau! mbona hamueleweki aisee!
Unafiki ni kitu kibaya sana katika maisha!
Utafiti wa kisaikolojia uligundua kuwa binadamu hujenga uadui wa bila sababu na wanaomzunguka pindi tu ajionapo yeye ni bora kuliko wao.
By nature hakuna binadamu anapenda aonekane chini ya mwingine. That’s why hata ma ofisin ukitaka uishi vyema hupaswi kuonesha uwezo wako mkubwa kwa wengine bali mpe sifa mkuu wako hata kama hazimstahil trust me utafika mbali.

Tukirudi kwenye mada hapo swala la msingi ni utajiri na hulka za kutongoza, mambo ya wew si tajir ooh blah blah nyingi ndio tunarudi sasa kwenye mtazamo huo wa saikoloji.
 
Back
Top Bottom