Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Mtazamo wako una leta ladha ya ukweli, mara nyingi tajiri hajitambulishi yeye kama ni tajiri hadi pale tu atapokuwa na uwezo wa kurudisha kile anachokipata kwa wahitaji wengine bila kutegemea return ya chochote hicho ndicho kipimo cha utajiri.Tajiri hajisemi huwa unaona vitendo tu
Haya tajiri wa jf tumekusikia na domo zege lako
Mfano mzuri Bill Gate na wengineo wanalitambua hilo.