Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Ni mwanaume yeyote au walio matajiri tu? Hembu pata hadithi ya tajiri bwana Reginald na mkewe bi Jackline.
 
Huu uzi nadhani nimeupost kimakosa sana!!! lengo lilikuwa ku shea story ya kweli inayonihusu, sikujua kama nitaumiza watu wengi kisaikolojia kwa kuongea ukweli na kutanabahisha status yangu.....
natoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine.....
namaliza kwa kuwaondolea mashaka....
mm ni tajiri kweli hapana mchezo......salimieni waume zenu na wake zenu huko majumbani mwenu goodnight.
Thread closed.
Endelea kutoa burudani tajiri,potezea maneno ya masikini kwani ndiyo tabia yetu.
 
Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
Hahah ila kuna ukweli sana kwny hili mkuu.

Kongole.
 
Duuh huu ni mwaka wa pili sijakanyaga mlimani city. Ule ni mkusanyiko wa maduka tu ambayo ukihitaji chochote unapata kwingine.

Lakini watu wa kutoka mikoani wanapapenda sana na wakiomba appointments wanakuelekeza hapo huwa nabadili location.
 
Umekariri maduka tu....!!!?
kuna bureau change pale na bank.....
watu hohehahe wanakariri wanadhani mtu akienda pale anaishia kununua mikate....!!
mara moja moja huwa napita kufanya transactions pale.....
 
Benki zote wanafanya transactions za forex na branches zipo mji mzima wa Dsm.

Mtu akitaka kufanya any transaction anafanya popote not necessarily mlimani.
 
Mleta mada angeleta mada kua ana dhiki na maisha yamempiga kila mtu angempa pole na kumuombea kwa Mungu ili aondokane na dhiki zake,lakini ameleta mada kua yeye ni tajiri watu wanamponda na kumuona anaongopa au anadharau! mbona hamueleweki aisee!
Unafiki ni kitu kibaya sana katika maisha!
Usitusute..tafadhali.
 
Kuna technique za kitajiri ambazo ukizitumia wala hupati shida kumpata mwanamke.. Hasa wale wavaa ndala za manyoya na wasomi wa vyuo vikuu!

1. Pay her bills
2. Give her a business card.

Baadae utatafutwa kama osama bin laden.

Eeh Mungu nijalie Pesa Nyingi, afya njema na maisha marefu..
 
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...

Kama kuongea tu unaona aibu, je kushusha suruali na kanguo kadogo mbele ya mtu mwingine utaweza!!!?
 
Utafiti wa kisaikolojia uligundua kuwa binadamu hujenga uadui wa bila sababu na wanaomzunguka pindi tu ajionapo yeye ni bora kuliko wao.
By nature hakuna binadamu anapenda aonekane chini ya mwingine. That’s why hata ma ofisin ukitaka uishi vyema hupaswi kuonesha uwezo wako mkubwa kwa wengine bali mpe sifa mkuu wako hata kama hazimstahil trust me utafika mbali.

Tukirudi kwenye mada hapo swala la msingi ni utajiri na hulka za kutongoza, mambo ya wew si tajir ooh blah blah nyingi ndio tunarudi sasa kwenye mtazamo huo wa saikoloji.
48 Laws of power, law No 1..

Never outshine the master.
 
Back
Top Bottom