Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ila huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sihami JF ng'ooooo
Sihami JF ng'ooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanaume yeyote au walio matajiri tu? Hembu pata hadithi ya tajiri bwana Reginald na mkewe bi Jackline.Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Endelea kutoa burudani tajiri,potezea maneno ya masikini kwani ndiyo tabia yetu.Huu uzi nadhani nimeupost kimakosa sana!!! lengo lilikuwa ku shea story ya kweli inayonihusu, sikujua kama nitaumiza watu wengi kisaikolojia kwa kuongea ukweli na kutanabahisha status yangu.....
natoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine.....
namaliza kwa kuwaondolea mashaka....
mm ni tajiri kweli hapana mchezo......salimieni waume zenu na wake zenu huko majumbani mwenu goodnight.
Thread closed.
Hahah ila kuna ukweli sana kwny hili mkuu.Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
Tajiri inabidi aende wapi?Tajiri unaendaje mliman city??
Magomeni kama weweTajiri inabidi aende wapi?
Umekariri maduka tu....!!!?Duuh huu ni mwaka wa pili sijakanyaga mlimani city. Ule ni mkusanyiko wa maduka tu ambayo ukihitaji chochote unapata kwingine.
Lakini watu wa kutoka mikoani wanapapenda sana na wakiomba appointments wanakuelekeza hapo huwa nabadili location.
Benki zote wanafanya transactions za forex na branches zipo mji mzima wa Dsm.Umekariri maduka tu....!!!?
kuna bureau change pale na bank.....
watu hohehahe wanakariri wanadhani mtu akienda pale anaishia kununua mikate....!!
mara moja moja huwa napita kufanya transactions pale.....
Usitusute..tafadhali.Mleta mada angeleta mada kua ana dhiki na maisha yamempiga kila mtu angempa pole na kumuombea kwa Mungu ili aondokane na dhiki zake,lakini ameleta mada kua yeye ni tajiri watu wanamponda na kumuona anaongopa au anadharau! mbona hamueleweki aisee!
Unafiki ni kitu kibaya sana katika maisha!
so Tajiri inabidi aende wapiBora umeuliza[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
48 Laws of power, law No 1..Utafiti wa kisaikolojia uligundua kuwa binadamu hujenga uadui wa bila sababu na wanaomzunguka pindi tu ajionapo yeye ni bora kuliko wao.
By nature hakuna binadamu anapenda aonekane chini ya mwingine. That’s why hata ma ofisin ukitaka uishi vyema hupaswi kuonesha uwezo wako mkubwa kwa wengine bali mpe sifa mkuu wako hata kama hazimstahil trust me utafika mbali.
Tukirudi kwenye mada hapo swala la msingi ni utajiri na hulka za kutongoza, mambo ya wew si tajir ooh blah blah nyingi ndio tunarudi sasa kwenye mtazamo huo wa saikoloji.
Absolutely48 Laws of power, law No 1..
Never outshine the master.