Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharau tajiri wa kishumunduWatu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
Soma vizuri nimesema yale maeneo ambayo hawanijui....huwa napata tabu sana....kwa madem wanaonijua huwa nasogeza tu....Wenye pesa wana conference mkuu na hawahitaji kutumia nguvu sana status yao tu inawabeba
Udomo zege ni kwa vijana wadogo wanaokuwa sio kwa mtu mzima tena mwenye pesa
Siweki hela nyingi bank siku hizi....Sawa tajiri hivi tukiondoa Dollar 5000 account yako inabakia na shilling ngapi tajiri?
Hajaiona kabisa manake lazima angeniheshimu na kujutia kunitosa kizembeDah mkaldayo huyo demu hajakuona na gari yako kali
Ukapanda gari gani daladala la wapi.lingekuwa lako ungesema nikaendesha gari.hahaaaa tajiri banaHabari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Eeh kubali tu nina mawe ya kuzugia town...Ukapanda gari gani daladala la wapi.lingekuwa lako ungesema nikaendesha gari.hahaaaa tajiri bana
Mkuu sahihi watu tunatofautiana binafsi pia sina uwezo mzuri wa kuzungumza ila niki tongoza mwanamke face to face kitendo cha kumuangalia straight to her eyes tayar namaliza mchezo by experience evarage ni 9 over 10 na win, pia huwa sikurupuki kutongoza tongoza tu kila ninae kutana nae, kiungo kikuu nachotumia ni kumtizama straight ndani ya macho yake na hapo nitapata jawabu tayar kama ni green light ama ni hazard light.Mimi ni kapuku ila kutongoza sijui maskini. Kimasihara mpaka manzi wa maisha yangu anielewe mwenyewe. Ila napata shida sana kudate na mtu na siwezi kuwa nao wengi
SIjawahi kuona tajiri samaki samaki ,wengi wanaenda kupiga Grants Hotel za nyota 5.Habari zenu.....
Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!!
Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....!
kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
ndio maana nikitaka mwanamke hasa nikiwa public/ kwenye watu wengi natumiaga manyoka/wapambe.....
kuepusha aibu na mawazo yasiyo na mpango...
karibu kwa maoni...
Wewe siyo tajiriHabari zenu.....

Tajiri gani anatongoza!?Habari zenu.....

Tabia tu ya mtu ! Kuna wajuba na mijihela yao tunakula nao serengeti lite kitaa hawana noma kabisa!SIjawahi kuona tajiri samaki samaki ,wengi wanaenda kupiga Grants Hotel za nyota 5.