Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Ni mwanaume yeyote au walio matajiri tu? Hembu pata hadithi ya tajiri bwana Reginald na mkewe bi Jackline.
 
Endelea kutoa burudani tajiri,potezea maneno ya masikini kwani ndiyo tabia yetu.
 
Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
Hahah ila kuna ukweli sana kwny hili mkuu.

Kongole.
 
Duuh huu ni mwaka wa pili sijakanyaga mlimani city. Ule ni mkusanyiko wa maduka tu ambayo ukihitaji chochote unapata kwingine.

Lakini watu wa kutoka mikoani wanapapenda sana na wakiomba appointments wanakuelekeza hapo huwa nabadili location.
 
Umekariri maduka tu....!!!?
kuna bureau change pale na bank.....
watu hohehahe wanakariri wanadhani mtu akienda pale anaishia kununua mikate....!!
mara moja moja huwa napita kufanya transactions pale.....
 
Benki zote wanafanya transactions za forex na branches zipo mji mzima wa Dsm.

Mtu akitaka kufanya any transaction anafanya popote not necessarily mlimani.
 
Usitusute..tafadhali.
 
Kuna technique za kitajiri ambazo ukizitumia wala hupati shida kumpata mwanamke.. Hasa wale wavaa ndala za manyoya na wasomi wa vyuo vikuu!

1. Pay her bills
2. Give her a business card.

Baadae utatafutwa kama osama bin laden.

Eeh Mungu nijalie Pesa Nyingi, afya njema na maisha marefu..
 
Kama kuongea tu unaona aibu, je kushusha suruali na kanguo kadogo mbele ya mtu mwingine utaweza!!!?
 
48 Laws of power, law No 1..

Never outshine the master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…