Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Heshima yenu Wakuu
Niruke moja kwa moja kwenye mada
Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni?
Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF
Mtu akiwa tu na akaunti ya JF ujue huyo mtu IQ yake ni above average mi namrespect sana mtu ambaye anakumbuka nyumbani kwanza.Mtaani bila kazi sio pazuri aisee
Kudos mjeda wa Zenji nimesahau ID yako Seran cocastic Manyanza