Do what you can to provide for yourselves but, remember this:
Before JESUS returns kutakuwa na matatizo ya kiuchumi, gepu la maskini na matajiri litaongezeka: matajiri wataendelea kushushia wine na kung'aa kwa mafuta, huku wengi wataishia kufanya kazi siku nzima na kuishia ku afford chakula cha siku moja tu.
We're witnessing this in real time.
"Mwana-kondoo alipouvunja ule muhuri wa tatu, nikamsikia yule kiumbe wa tatu mwenye uhai akisema, “Njoo!” Nikatazama, na mbele yangu palikuwa na farasi mweusi! Yeye aliyempanda alikuwa na mizani mkononi mwake.
Ndipo nikasikia kile kilichokuwa kama sauti katikati ya wale viumbe wanne wenye uhai ikisema, “Kipimo kimoja cha ngano kwa mshahara wa kibarua wa siku moja, na vipimo vitatu vya shayiri kwa mshahara wa kibarua cha siku moja. Lakini usiharibu mafuta wala divai!”
Ufunuo.6.5-6.NENO