Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

alikuaga kitisho na adui mkubwa sana kwa matajiri hasa wa malori huyu kijana 🐒

Nabii Jambazi alieokoka bana, eti anajifanya sasa ni mtakatifu mwenye huruma malaika anaeng'ara mweupe kama pamba 🐒

dah kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa 🐒🐒
 
Hakuna aliyesalama
 
Huwezi kuwa Paulo kabla hujawa Sauli 🐼
 
Lema ni km wewe
 
mbaya na ile ngumu zaidi baada ya kutoka kwenye usauli ni kutamani kuchukua hadi nafasi ya mungu kwamba sasa alie muokoa akae pembeni 🐒
Yesu Mwenyewe alisema Kazi alizotenda na hata kubwa zaidi sisi twaweza kuzitenda

Maandamano ya Lema mitambo imewashwa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo Bunge lilisema Mgao hadi June 😂😂
 
Yesu Mwenyewe alisema Kazi alizotenda na hata kubwa zaidi sisi twaweza kuzitenda

Maandamano ya Lema mitambo imewashwa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo Bunge lilisema Mgao hadi June 😂😂
Kumbuka huo ni mkakati wa muda mrefu,
Lakini pia upo mkakati wa muda wa kati na muda mfupi🐒

hii ni kumaanisha yapo masuala ya makusudi ya kukamilishwa ndani ya muda mfupi na tatizo linaweza kua limekwisha,

lakini pia yapo mambo ya kimkakati ya muda wa kati ambayo nayo vilevile yanaweza kumaliza tatizo hili kabisa,

lakini pia mwishowe yapo masuala ya makusudi ya kimkakati ambayo ni ya muda mrefu nayo yakikamilika mgao wa umeme humu nchini utakua ni historia, kwasababu utakua wa kutosha na wa uhakika zaidi 🐒,
 
Labda wavae mask, maana wanajua yatakayowakuta baada ya maandamao.

Ukiona matajiri wanapata tabu, basi jua mtanzania wa kawaida hali ni mbaya kuliko maelezo
 
Matajiri ndio wametudikisha hapa. Hawana cha kupoteza na huwa siku zote na watawala wakandamizaji.
 
Yule wa Iramba anayekunywa mchuzi wa skafu ya kijani anasemaje
 
Taifa linahitaji mjadala mpana kuhusu uendeshaji wa mambo muhimu na si maandamano ya mhemuko, Kama ni maandamano basi yawe ya kuitoa serikali iliyopo madarakani na yasikome mpaka iwe imeanguka. Maandamano ya kuishia kuzunguka barabarani na kuimba nyimbo is nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…