Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuaga kitisho na adui mkubwa sana kwa matajiri hasa wa malori huyu kijana 🐒View attachment 2916545
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .
Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Hakuna aliyesalamaView attachment 2916545

Huwezi kuwa Paulo kabla hujawa Sauli 🐼alikuaga kitisho na adui mkubwa sana kwa matajiri hasa wa malori huyu kijana 🐒
Nabii Jambazi alieokoka bana, eti anajifanya sasa ni mtakatifu mwenye huruma malaika anaeng'ara mweupe kama pamba 🐒
dah kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa 🐒🐒
mbaya na ile ngumu zaidi baada ya kutoka kwenye usauli ni kutamani kuchukua hadi nafasi ya mungu kwamba sasa alie muokoa akae pembeni 🐒Huwezi kuwa Paulo kabla hujawa Sauli 🐼
Lema ni km weweView attachment 2916545
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .
Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Yesu Mwenyewe alisema Kazi alizotenda na hata kubwa zaidi sisi twaweza kuzitendambaya na ile ngumu zaidi baada ya kutoka kwenye usauli ni kutamani kuchukua hadi nafasi ya mungu kwamba sasa alie muokoa akae pembeni 🐒
Kumbuka huo ni mkakati wa muda mrefu,Yesu Mwenyewe alisema Kazi alizotenda na hata kubwa zaidi sisi twaweza kuzitenda
Maandamano ya Lema mitambo imewashwa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo Bunge lilisema Mgao hadi June 😂😂
Matajiri ndio wametudikisha hapa. Hawana cha kupoteza na huwa siku zote na watawala wakandamizaji.View attachment 2916545
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .
Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Yule wa Iramba anayekunywa mchuzi wa skafu ya kijani anasemajeView attachment 2916545
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .
Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
HakikaHakuna aliyesalama
Hili limekuzidi umriNyie nyumbu wa Chadomo mnaijua Bilioni kweli? Hata akili ya kujiongeza huna.Dalili ya umaskini 🤪🤪
Mwisho black market hata ukiuziwa $1=7000Tsh sawa Kwa sababu official exchange rate ya Dola haizidi 2500 Kwa Dola 1.
Hahaaa anavamia tuHili limekuzidi umri
Level yake ni uchawa tuHili limekuzidi umri
Hii ni hatari sana