Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

View attachment 2916545

Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .

Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
alikuaga kitisho na adui mkubwa sana kwa matajiri hasa wa malori huyu kijana 🐒

Nabii Jambazi alieokoka bana, eti anajifanya sasa ni mtakatifu mwenye huruma malaika anaeng'ara mweupe kama pamba 🐒

dah kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa 🐒🐒
 
View attachment 2916545

Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .

Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Hakuna aliyesalama
 
Lema ni km wewe
 
mbaya na ile ngumu zaidi baada ya kutoka kwenye usauli ni kutamani kuchukua hadi nafasi ya mungu kwamba sasa alie muokoa akae pembeni 🐒
Yesu Mwenyewe alisema Kazi alizotenda na hata kubwa zaidi sisi twaweza kuzitenda

Maandamano ya Lema mitambo imewashwa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo Bunge lilisema Mgao hadi June 😂😂
 
Kumbuka huo ni mkakati wa muda mrefu,
Lakini pia upo mkakati wa muda wa kati na muda mfupi🐒

hii ni kumaanisha yapo masuala ya makusudi ya kukamilishwa ndani ya muda mfupi na tatizo linaweza kua limekwisha,

lakini pia yapo mambo ya kimkakati ya muda wa kati ambayo nayo vilevile yanaweza kumaliza tatizo hili kabisa,

lakini pia mwishowe yapo masuala ya makusudi ya kimkakati ambayo ni ya muda mrefu nayo yakikamilika mgao wa umeme humu nchini utakua ni historia, kwasababu utakua wa kutosha na wa uhakika zaidi 🐒,
 
Labda wavae mask, maana wanajua yatakayowakuta baada ya maandamao.

Ukiona matajiri wanapata tabu, basi jua mtanzania wa kawaida hali ni mbaya kuliko maelezo
 
View attachment 2916545

Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .

Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Matajiri ndio wametudikisha hapa. Hawana cha kupoteza na huwa siku zote na watawala wakandamizaji.
 
View attachment 2916545

Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha , imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo , kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka , na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao .

Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu , amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje , hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi
Yule wa Iramba anayekunywa mchuzi wa skafu ya kijani anasemaje
 
Taifa linahitaji mjadala mpana kuhusu uendeshaji wa mambo muhimu na si maandamano ya mhemuko, Kama ni maandamano basi yawe ya kuitoa serikali iliyopo madarakani na yasikome mpaka iwe imeanguka. Maandamano ya kuishia kuzunguka barabarani na kuimba nyimbo is nonsense.
 
Back
Top Bottom