Matajiri wakubwa Tanzania si wafanyabiashara bali ni wanasiasa, viongozi wa serikali na ndugu zao, kuonyesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

Huo ujanja wa kucheza na kutoa rushwa unapobid ni mazingira tu yapo hivo, sio kosa la wafanyabiashara,

Ila dunia nzima wanasiasa ndio huamua nani awe tajiri nani asiwe, kwa sababu ili uwe tajiri lazima kuna mauchafu uyafanye, wakiamua kukukazia hutoboi kabisa
 
Wataje hao wanasiasa wenye hela kumzidi Bakhresa, Mount Meru, Mo au Lake group,

Sometimes tusidanganyane sana, wanasiasa wana hela ila usiseme ndio wenye hela nying nchini, matajiri hii nchi ni wahindi na waarabu
wapo na wanajificha kupitia hao hao unaowajuwa wewe na wanawekeza pesa zao kwenye mirad hiyo hiyo unaijuwa ya hao matajiri wengi uwajuao
 
Uraia pacha haukwepeki ni suala la wakati tu
Viongozi waliopo madarakani wanawaogopa sana Watanzania wanaoishi nje, kwamba wamepanuka kimawazo na ni rahisi wakirudi nyumbani kuwa sehemu ya jamii ya Watanzaia watataka mambo yabadilishwe

Wazungu wanasema waafrika walipata mawazo ya uhuru baada ya kuwapeka vita kuu ya pili miaka ya 1939-45, na wakashuhudia mzungu hana tofauti na wao, na mara nyingine alanila kama mtoto kwa kuogopa. Na kumbuka waswahili walikuwa wnawatungua adui wa kizungu risasi, na ndio wakajua kwamba kumbe mzungu si chochote si lolote. Kenya wkaanzisha MauMau nk

Viongozi wanawaogopa sana diaspora kwa kuwa wanajua diaspora wakiruhusiwa nchini watabadilisha mambo kutokana na exposure yao. Viongozi wanapenda hali ya kuwadanganya wananchi ambao hawajui chochote iendelee
 
Ndo ccm inachoogopa kutoa uraia pacha,pili unajua diaspora hawarogwi na Moshi wa mwenge kuwapumbaza fikra wasiwaze maendeleo kama watz.
wanaogopa mawzo mapya toka nje,sababu ya kale kakikundi ka kunufaika na Kodi zetu wanalinda himaya Yao.
 
Kuna waziri mmoja wa mojawapo za wizara zetu kapiga hela sawasawa. Rais Samia aliposikia alichofanya ni kumuondoa tu wizara hiyo na kumhamishia wizara nyingine. Japo inajulikana amepiga hela ya serikali kubwa, swali ni kwamba kwa nini raisi Samia hajaamuru Takukuru wamchukulie hatua? Na sio huyo tu. Kuna mawaziri wengine pia walifanya hivi na wakaondolewa bila kuchukuliwa hatua, kama vile wanapewa nafasi wakale walichopiga
 
Umemaliza
 
Uko vyema mkuu.
 
Mwaka huu kuna ofisi za stationery ziliagiza sukari ya mabilioni nje. Ofisi hata mtaji wa miliono 10 hazina ila ghafla bin vu zimeagiza tani za sukari kwenye meli. Aliyetoa kibali Wizara ya Kilimo, kwanini hawakupewa vibali wazalishaji wa sukari kama ulivyo utarati u kisheria anayejua ni Wizara.
Beberu utasema hizo stationery zina uwezo wa sukari, utajiri wake hauna siasa.
 
🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…