Upo Sawa, kijana alipata ajali huko kwa DP-world, wenzake wakaita ambulance dakika sifuri. Alipofikishwa HospitalI akahudumiwa na baada ya kumaliza operation, ndipo wakaanza kutafuta ndugu zake akiwa ICU. Thrombosis. Hapo ni usiku wa saa 8. Ingekuwa TZ sijui kama hata ningeweza kusimulia maana inasemekana ugonjwa uliopona ndiyo husimuliwaSiyo bure as such, lakini utachukuliwa fastaaa na utatibiwa. Pesa utakuja kudaiwa baadae usharudi hata nyumbani kabisa.
Nyie mliowahi kwenda kuyajaribu maisha ya huko mna bahati, kwa jinsi serikali za magharibi zinavyobana uhamiaji sasa hivi, tuliopo huku tushafungiwa.
Aswaaa!
Ukipata huduma ya afya toka nje na ukapata ya Tz. Sanasana kwa cases kama hizi za emergency, utaona nyumbani watu wanachukuliwa kama mifugo
Namaanisha yaani kadri jinsi siasa za far right zinavyozidi kushika kasi ulaya na marekani, na white supremacists kama kina Musk na Thiel wanavyozidi kupata ushawishi, uhamiaji unakuwa mgumu sana kwa wanaotaka.Bahati ya kulazimishwa mkuu. Mimi ningependa nikae kwenye jamii nilipozaliwa, niwe nakuja Marekani kutalii tu na kurudi huko kwetu, kwetu kuwe nchi ywnye maendeleo ninayoyataka. Mbona watu wa Botswana huwakuti kuhangaika huku nje, wametukia kwao kuna fursa kibao.
Lakini vijimambo vya maisha vimelazimisha iwe hivi. Uongozi mbaya na utamaduni mbaya umesababisha watu kuona poa tu kuondoka kwao na kwenda khishi kwingine.
Ambulance yenyewe inaomba msaada wa kupita🤣🤣Ukiangalia Ambulance Dar zinavyopambana na foleni wakati mwingine unatamani uwakamate watawala uwachape viboko.
Ni spain tu nasikia ndo kuzuri sasa hivi, kwingine kote panakazwa. Angalia Canada inadeport watu ~400 kwa wiki, wanasema ni "record high"Ingia Canada, Australia au Ulaya, bado hawajakaza sana.
Najua.Namaanisha yaani kadri jinsi siasa za far right zinavyozidi kushika kasi ulaya na marekani, na white supremacists kama kina Musk na Thiel wanavyozidi kupata ushawishi, uhamiaji unakuwa mgumu sana kwa wanaotaka.
Nyie mlioenda "zamani hizo" hamkukutana na vizuizi vingi.
upo sahihi kabisa mkuu, kpindi fulani nilikuwa kjjni kwa bi mkubwa, ng'ombe wake akawa anataka kuzaa ila ndama akawa mkubwa sana akashindwa kupita kwenye njia, tukampigia vet fasta tu akafika na kumzalisha kwa kuongeza njia na kumshona, ilikuwa saa saba usiku ila vet aliamka na kuja fasta.kwanza Tanzania huduma za mifugo ziko well organized & Fast kuliko za binadamau, kwasababu they are privatelly regulated about 90%
upo sahihi kabisa mkuu, kpindi fulani nilikuwa kjjni kwa bi mkubwa, ng'ombe wake akawa anataka kuzaa ila ndama akawa mkubwa sana akashindwa kupita kwenye njia, tukampigia vet fasta tu akafika na kumzalisha kwa kuongeza njia na kumshona, ilikuwa saa saba usiku ila vet aliamka na kuja fasta.
Acha uongo dawa sio free canadaNi kweli mkuu ulivyosema....Hata canada nilikuwa namsikiliza Diaspora anasema unaenda hospital unapimwa free unaandikiwa dawa unaenda pharmacy kuchukua dawa ,napo ni FREE.
Marekani ya kinondoniBaba Marekani ya wapi hiyo ambayo matibabu ni Bure ukipiga 911?
Ndiyo ccm walivyokufundishaasilimia 70 ya malighafi viwandani kote duniani yatoka bara afrika pekee.
Kwa wazee wa west africa siwezi kushangaaSema hii ajali ya Joshua mbona kama zile za jamaa zetu wa mabasi ya mkoa.
Isije ikawa amere new mkataba.nawaza tu
hakika chief, kuna sister mbwa wake anatembelewa na vet kila mwez, siyo kwa kuitwa ila ipo kwenye ratiba yake.Mbwa wenyewe wana MaDr. Wao na kadi zao, Lkn Binadamu hajui hata kituo cha Afya cha katani kwake kinafanyaje
kama huna hoja nyamaza.Ndiyo ccm walivyokufundisha
SahihiKuna kitabu kinaitwa msela wa kwanza duniani ni serikali.
Ila kwenye kitabu kinaeleza usiri wa vikundi vikiwafanya wanasesere serikali.
Sawa mkuu...fungua leza tv ya vloger wa canada.Acha uongo dawa sio free canada
Yule tapeliSawa mkuu...fungua leza tv ya vloger wa canada.