Matamasha yote yangekua na kiingilio rahisi na bure,watanzania tungeongoza kuwa taifa lenye furaha zaidi duniani

3000*30000(kwa mujibu wa wao idadi waloingia) ni 90mill bila kupigia hesabu ya waloingia bure kujaza maana walikua wanauza tiket mpaka saa3 usiku,means tiket hazikuisha.

Hawajamaa wameamua kujaza watu ili kupiga picha tu lakini hakuna walichopata.


Zaid vipo kama vitoto toto vile na promotion zao za karbu mwezi mzima na tiket zao za bure.

Wacha watu walio serious na muziki wafanye mapinduzi sasa,wao waendelee ba genge lao hilo la majungu
 
Issue sio kupata hela,issue ni kuongeza fanbase na kujitangaza,utasemaje TVE ambayo matamasha yao yote hata buku hutoi?
 
Roughly hawazidi 5000.Mida hiyo Jukwaani yuo Nandy.



 

Attachments

  • 80165053_1043627735990787_238102712454361371_n.mp4
    7.4 MB
Mzee Kigogo,
Burudani ni sehem moja wapo ya kuimarisha furaha,sio kula,shule,matibabu peke yake

Nakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Abraham Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
 
kwahiyo walioenda pale wote ni wahuni? 😂😂😂
 
Man, we ni mgeni wa hili Jukwaa, au?! Naona unatumia nguvu ku-clarify wakati Chinga One hajamaanisha alichokisema! Kimsingi hoja yake ni dongo kwa Clouds!! It's sarcasm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…