Matamasha yote yangekua na kiingilio rahisi na bure,watanzania tungeongoza kuwa taifa lenye furaha zaidi duniani

Fiesta mikoani bei3000 Dar ndo ilikuaga inakua juu kidogo kabla hata ya hao wasafi wako kufika mjini mmeumbuka nyie team wasafi mlidhani watu hawatajaaa kumbe watu tumeanza kwenda kwenye fiesta kabla ya hao mnaowashobokea hawajafika mjini na kwa taarifa yako na waanafiki wenzio siku zote mjini akili na kumzidi ujanja mpinzani wako Tu elf3 waiona ndogo lakini wakiingia watu elf40 wakalipa hyo piga mahesabu na huyo aloweka elf 10 wakaingia watu 2elf10 utajua tofauti ya Tinga tinga na vitz!
Kingine mambo ya koplimentary hajaanza Jana wala juzi toka enzi mbona watu wanaingia bure Ni vitu vidogo sanaa hvyoo!!

BTW wamachinga hatunaga roho ya husdaa we itakua mmakonde wa mitipweshii!!!
3000*30000(kwa mujibu wa wao idadi waloingia) ni 90mill bila kupigia hesabu ya waloingia bure kujaza maana walikua wanauza tiket mpaka saa3 usiku,means tiket hazikuisha.

Hawajamaa wameamua kujaza watu ili kupiga picha tu lakini hakuna walichopata.

Zaid vipo kama vitoto toto vile na promotion zao za karbu mwezi mzima na tiket zao za bure.

Wacha watu walio serious na muziki wafanye mapinduzi sasa,wao waendelee ba genge lao hilo la majungu
 
Issue sio kupata hela,issue ni kuongeza fanbase na kujitangaza,utasemaje TVE ambayo matamasha yao yote hata buku hutoi?
 
3000*30000(kwa mujibu wa wao idadi waloingia) ni 90mill bila kupigia hesabu ya waloingia bure kujaza maana walikua wanauza tiket mpaka saa3 usiku,means tiket hazikuisha.

Hawajamaa wameamua kujaza watu ili kupiga picha tu lakini hakuna walichopata.

Zaid vipo kama vitoto toto vile na promotion zao za karbu mwezi mzima na tiket zao za bure.

Wacha watu walio serious na muziki wafanye mapinduzi sasa,wao waendelee ba genge lao hilo la majungu
Roughly hawazidi 5000.Mida hiyo Jukwaani yuo Nandy.
2235913_umbe1.png

2235917_umbe2.png
2235917_umbe2.png

2235918_umbe3.png

2235919_umbe4.png
 
Attachments

  • 80165053_1043627735990787_238102712454361371_n.mp4
    7.4 MB
Mzee Kigogo,
Burudani ni sehem moja wapo ya kuimarisha furaha,sio kula,shule,matibabu peke yake

Nakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Abraham Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
 
Sio kujifanya. Mimi na matamasha ya hivyo mbali mbali na sio kama sipendi mziki. Mimi mtoto wa kike siwezi enda kuungana na wahuni national stadium.
Pia Kuna levels yaani sijizungumzii mimi ila ndo ipo hivyo huwezi kwepa.
Wa kishua na wa kajamba nani wataendelea kuwepo.
kwahiyo walioenda pale wote ni wahuni? 😂😂😂
 
Nakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Adam Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
Man, we ni mgeni wa hili Jukwaa, au?! Naona unatumia nguvu ku-clarify wakati Chinga One hajamaanisha alichokisema! Kimsingi hoja yake ni dongo kwa Clouds!! It's sarcasm.
 
Back
Top Bottom