fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
3000*30000(kwa mujibu wa wao idadi waloingia) ni 90mill bila kupigia hesabu ya waloingia bure kujaza maana walikua wanauza tiket mpaka saa3 usiku,means tiket hazikuisha.Fiesta mikoani bei3000 Dar ndo ilikuaga inakua juu kidogo kabla hata ya hao wasafi wako kufika mjini mmeumbuka nyie team wasafi mlidhani watu hawatajaaa kumbe watu tumeanza kwenda kwenye fiesta kabla ya hao mnaowashobokea hawajafika mjini na kwa taarifa yako na waanafiki wenzio siku zote mjini akili na kumzidi ujanja mpinzani wako Tu elf3 waiona ndogo lakini wakiingia watu elf40 wakalipa hyo piga mahesabu na huyo aloweka elf 10 wakaingia watu 2elf10 utajua tofauti ya Tinga tinga na vitz!
Kingine mambo ya koplimentary hajaanza Jana wala juzi toka enzi mbona watu wanaingia bure Ni vitu vidogo sanaa hvyoo!!
BTW wamachinga hatunaga roho ya husdaa we itakua mmakonde wa mitipweshii!!!
Hawajamaa wameamua kujaza watu ili kupiga picha tu lakini hakuna walichopata.
Zaid vipo kama vitoto toto vile na promotion zao za karbu mwezi mzima na tiket zao za bure.
Wacha watu walio serious na muziki wafanye mapinduzi sasa,wao waendelee ba genge lao hilo la majungu