johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ahaaaaa, acha hasira kamanda.Umelazimishwa?
Komrade mmetumia bill ya sh ngapi hapo Budget?Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Le mutuz yupo kwa waganga wa kienyeji anakula vichwa akizuga kuwasaidia wasifukuzwe kawachukulia milion milion kila kichwaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu sasa tunalipa kwa m pesa cash tumeshateketeza!Komrade mmetumia bill ya sh ngapi hapo Budget?
KimaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Umelazimishwa au umeshajua kilichowapata wasaliti?
Sijalazimishwa lakini Chadema ni chama changu pia kinaendeshwa kwa kodi zetu!Umelazimishwa au umeshajua kilichowapata wasaliti?
π€£π€£πππ€£ππ πππ€£π πππ€£ππ€£ππ πππ€£π€£ππ ππ€£πππ π€£πππ€£π€£π ππππππ€£kamalikia ka Bahari
Ili magazeti ya kesho yasiandike. Yuko shujaa mmoja anaitwa Sisera kwenye biblia mwanamke alimzidi maarifaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Moja ya udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa JF , mpaka mada za empty head tabulalasa zinaenda hewani ? Mada zako zote ni pumba tupu . Kama jf wangekuwa wanafanya analysis basi mada yako hata moja isingepanda hewani ni pumba tupu .Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... Mwamba kabanwa kila kona barua imesainiwa na Mnyika ikapelekwa kwa Mahera na NKM Mwalimu!Wanapenda uvutwe muda ili waendelee kuwa na relevance na vi nyuzi uchwara hivi.
"Mwamba" kata mzizi wa fitina upeleke kilio mboga mboga!
Hahaa ulivyotegemea imekuwa ndivyo sivyo.Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema wanahitaji somo la kujitambua kwanzaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!