[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We kiazi kweli..... Sasa hivi hakina m'bunge hata mmoja na madiwani pia, wanatumia ela zake za ndani, jiondoe ukabaki na ccm yakoKwa sababu kinatumia kodi zetu uwe unasoma na kuelewa mbwiga!
Ulitaka tuahirishe ili mtuwahi na zuio la Mahakama kutuzuia tusiwakadili? Mlikolalia ndiyo tulikoamkia. Mabilioni ya huyu mwamba yamewatoa akili kabisaaaaaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Chakubimbi, nyumba siyo yako unalalamikia nini wasipozima taa!Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!