johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #41
Nafuatilia kwa karibu bwashee!tulia kideoni.
Nafuatilia kwa karibu bwashee!tulia kideoni.
Mm siyo kamanda wa ufipa ila sipendi upuuzi kama waufanyao kina MAGUFULI na ndugai nono no unaweza ita Jina lolote ila sina akili za kushikiwa. Juzi tu mliwafunga kwa bila kina mdee na bulaya mkawavunja na mkono leo wanakuwa MASHUJAA kama sio ushetani nanini basiWewe unayo mambo ya kufanya mbona tuko wote hapa kamanda wa Ufipa?!!
Punguza hisia!!Umelazimishwa au umeshajua kilichowapata wasaliti?
Kama Zuzu siku hizi? Mbona ulikuwa na akili zako miezi 2 tu iliyopita?Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe atawashangaza hao ndio maana anasubiri giza likolee!Punguza hisia!!
Unauhakika gani kuwa ni wasaliti?
Je wasipochukuliwa hizo hatua kama unavyolemba kila uzi utaficha wapi aibu????
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Drama tu hizi, km chama kinatakiwa to go back to the drawing board, spirit za makamanda ziko down sana kwa sasa.Umelazimishwa au umeshajua kilichowapata wasaliti?
Umeshapanic bwashee.Kama Zuzu siku hizi? Mbona ulikuwa na akili zako miezi 2 tu iliyopita?
Si umesema chadema chama chako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akili fupi hizi ni shida tupuHahahaaaa.......Tamkeni bwashee tuwashangilie!
Kwa sababu kinatumia kodi zetu uwe unasoma na kuelewa mbwiga!Si umesema chadema chama chako? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akili fupi hizi ni shida tupu
Wewe CCM mwenzangu, mchecheto wa nini?Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, news is like tea, anytime is tea time!.Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa yohane mbatizaji hatulii kabisaWewe CCM mwenzangu, mchecheto wa nini?
Wanakwepesha ili magazeri kesho yakose cha kuandikaYaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa mkuu ngoja niendelee kusubiri!Mkuu, news is like tea, anytime is tea time!.
P
Hahahaaaa....... Bwashee siasa ni sayansi!Hahahaa yohane mbatizaji hatulii kabisa
As usual ni Uharo tuu,Le mutuz yupo kwa waganga wa kienyeji anakula vichwa akizuga kuwasaidia wasifukuzwe kawachukulia milion milion kila kichwa
Wenzio wako baa saa hii wewe unakesha.Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Hatimaye Covid 19 OUT!Wenzio wako baa saa hii wewe unakesha.
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.
Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.
Msituchoshe jamani.
Maendeleo hayana vyama!