Matamko ya usiku kama tuko vitani hayana afya kwenye siasa

Status
Not open for further replies.
Moja ya udhaifu mkubwa sana wa uongozi wa JF , mpaka mada za empty head tabulalasa zinaenda hewani ? Mada zako zote ni pumba tupu . Kama jf wangekuwa wanafanya analysis basi mada yako hata moja isingepanda hewani ni pumba tupu .
Mchezo huu hautaki hasira..... Karibu budget bwashee!
 
Nyie ndio mlio enda hapa mkizani kuna ubwabwa cha ajabu hamuoni hata dalili ya kuni za kupikia
 
Mods huyu nadhani MNA ubia naye, anaandika uchafu kila Leo, wala hamfiti uchafu wake
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.
MATAGA jambajamba dadeki!!
 
Yaani makamanda tumekaa kuanzia asubuhi tunasubiri tamko la Chadema kuhusu wabunge 19 na sasa ni usiku lakini tamko bado kutolewa.

Matamko ya usiku hayasdhirii heri kabisa.

Msituchoshe jamani.

Maendeleo hayana vyama!
Boya wewe unalazimishwa nanani kusikiliza??? Ivi wewe huna mambo ya kufanya ???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…