[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We kiazi kweli..... Sasa hivi hakina m'bunge hata mmoja na madiwani pia, wanatumia ela zake za ndani, jiondoe ukabaki na ccm yako
Ulitaka tuahirishe ili mtuwahi na zuio la Mahakama kutuzuia tusiwakadili? Mlikolalia ndiyo tulikoamkia. Mabilioni ya huyu mwamba yamewatoa akili kabisaaaaa