Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

KKwe

Kweli kachafua brand ya chama,inahitajika juhudi za maksudi kurekebisha kauli ya huyu mzee haraka sana kwa faida ya chama.kidumu chama cha mapinduzi
Uongozi wa CCM lazima ujifunze kuwa Yusufu Makamba has NEVER been a political thinker.
Ni muongeaji ndiyo, kama waongeaji mahiri vijiwe vya kahawa, lakini si calibre ya wanasiasa statesmen kama Mwalimu.

Hatari ya kumuweka kimbele mbele Yusufu Makamba ndiyo hiyo, anawaadhiri sasa.

No wonder hata jeshini Makamba hakuweza kusonga mbele na aliishia u Luteni.
 
Makamba senior hajawahi kuwa na akili timamu tangu zamani,anaishi kiujanja ujanja tu.......hawa ni miongoni mwa vibabu vinavyosababisha sisiemu ichukiwe, maana wao wamenufaika na mali za umma ila bado wanaona wanaohoji ni wapingaji.
 
Ni bahati mbaya, ni laana taifa kuwa na wazee kama hawa, wazee wanao toa takataka mdomoni! Ni aibu kwa serkali na chama, alafu kavaa sharti la kijani
Akiwa amevaa kofia ya kiislamu?
 
Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Huenda Mungu amekusudia jambo labda ni Babeli imeanza baada ya wachace kukufuru wanaanza kuropoka, time will tell
 
Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Jidu La Mabambasi Mzee Makamba kwa uhakika kabisa kasema kile ambacho yeye na kundi lake akina Kikwete, Kinana, Nape, January, Membe na Rais Samia huwa wanazungumza kwenye vikao vyao. Mzee kaweka historia ambayo haitakuja kufutika kabisa kamwe. Ila siku akifa msiba wake watu watataka kujua kama kafa kweli maana yeye ni mtu mzuri na hawezi kufa au siku akifa kinana au JK watu watamkumbusha kuwa wale wazuri nao wamekufa. Yaani nilichojifunza aisee ukimya ni hekima moja ya juu sana.
 
Tulia kijana hutoamini kitatokea. Mzee amelitafuta asilo lijuwa nilidhani kwa kukaa kwake jeshini anajuwa silence war ila ametoka nje ya mstari.
Hii hapana Mkuu, haikubaliki duniani na hata mbinguni.

Huu utawala wa leo umetuvua nguo sana watanzania, wamekula wamevimbewa na sasa wanatapika tu juu ya meza zao.

Mungu wa mbinguni na akione hiki kilio cha wajane wote, kilio cha viumbe wake. Na atoe njia pasipo na njia kama alivyoifungua Bahati ya Sham kwa watu wake na ikawa njia kwao

Amina!
 
Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Kuna wakati tulikuwa tunasemaga....." mtu mzima ovyooo...!"
 
Nashangaa kuna watu wanajaribu kumtetea Mzee Makamba kwa ile kauli yake aliyoitoa jana.

Ukweli ni kwamba, kwa ile kauli aliyoitoa ya "watu wazuri huwa hawafi" katikati ya uwepo wa wajane, alikosea, tena alikosea sana.

Ndio maana Samia kwa kutambua hilo, akaomba radhi kwa niaba ya Mzee Makamba, akitamka pale ukumbini anajua hakuna ambaye hajafiwa na ndugu yake.

Hapa hakuna habari ya kuleta siasa au vinginevyo, Makamba alikosea anastahili kuambiwa ukweli ili ajirekebishe, na asitetewe kwa sababu zozote zisizo na mashiko.
Ana hasira na magufuli na juzi alisema tushukuru kwa kwa huo umeme kidogo tunaoupata
 
Uongozi wa CCM lazima ujifunze kuwa Yusufu Makamba has NEVER been a political thinker.
Ni muongeaji ndiyo, kama waongeaji mahiri vijiwe vya kahawa, lakini si calibre ya wanasiasa statesmen kama Mwalimu.

Hatari ya kumuweka kimbele mbele Yusufu Makamba ndiyo hiyo, anawaadhiri sasa.

No wonder hata jeshini Makamba hakuweza kusonga mbele na aliishia u Luteni.
Na kapewa hiyo nafasi ili amnange marehemu
 
Jidu La Mabambasi Mzee Makamba kwa uhakika kabisa kasema kile ambacho yeye na kundi lake akina Kikwete, Kinana, Nape, January, Membe na Rais Samia huwa wanazungumza kwenye vikao vyao. Mzee kaweka historia ambayo haitakuja kufutika kabisa kamwe. Ila siku akifa msiba wake watu watataka kujua kama kafa kweli maana yeye ni mtu mzuri na hawezi kufa au siku akifa kinana au JK watu watamkumbusha kuwa wale wazuri nao wamekufa. Yaani nilichojifunza aisee ukimya ni hekima moja ya juu sana.
True
 
Back
Top Bottom