Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Uongozi wa CCM lazima ujifunze kuwa Yusufu Makamba has NEVER been a political thinker.KKwe
Kweli kachafua brand ya chama,inahitajika juhudi za maksudi kurekebisha kauli ya huyu mzee haraka sana kwa faida ya chama.kidumu chama cha mapinduzi
Ni muongeaji ndiyo, kama waongeaji mahiri vijiwe vya kahawa, lakini si calibre ya wanasiasa statesmen kama Mwalimu.
Hatari ya kumuweka kimbele mbele Yusufu Makamba ndiyo hiyo, anawaadhiri sasa.
No wonder hata jeshini Makamba hakuweza kusonga mbele na aliishia u Luteni.