Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is the most stupid advert I have ever listened to! How can mcharo be mtamu?
Lilikuwepo la pen za Cello piaTangazo la peni za BIC, hahaha!
Timiza, timiza, timiza ni mkomboooziTimiza la Airtel ni noma sana.
Matangazo yapo mengi sana ila matangazo ya COCA COLA ni mwisho wa yote mkuu.Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya matangazo yanayoweza kua zaidi ya tangazo bali burudan kwa upande wangu ni
1) ni tangazo la mcharo kawa mtaamu(vodacom)