Mentor nasikia kwenu mna sura mbaya mpaka polisi huwatumia nyie kuwatisha wahalifu ili waseme ukweli. Kweli nyie ni polisi jamii.
Naskia we ni nyeupe mpaka kwa brain yako.
we ni mshamba mpaka huisalimia radio kila mtangazaji anapobadilika.
We ni msahaulifu mpaka wamekubandika picha za wazazi wako mlangoni na majina yao ukiamka ujikumbushie!
Aisee nilikuwa naugulia maumivu ya man utd hii post imenifurahisha...endeleeni jamani
nimesikia we ni mjinga sana, wazazi wako wamekufundisha kusali mpaka wamechoka badala yake wakakuandikia sala kwenye karatasi na kuibandika ukutani pembeni ya kitanda chako. Lakini bado husali, unamwambia Mungu soma mwenyewe mi leo nimechoka...Amina.
Hahaha...Umekonda mpaka ukipma uzito bararabani wale jamaa wanakurudishiaga change!
Hahaha...Umekonda mpaka ukipma uzito bararabani wale jamaa wanakurudishiaga change!
Mikono imekomaa, mpaka ukimshika demu wako anakuambia "Acha kunikanyaga"...teh teh teh!
You make ma day sweet
kwenu ni wafupi hadi mtumia hendkachif kujifunika kama shuka.
u make my day...loh....