Nakumbuka zamani...............................................:violin:
Hahahahha nimecheka na kukumbuka!
Unakichwa kikubwa mpaka ukilala wichi linakuja kukuinua.
thethetehe.. duh! kuna watu sio wa kuwachokoza duh!..
Mkuu uzuri wa matani yasifanane na ukweli manake unaweza sababisha mengine humu.
Nilikuwa napita tu jamani................................
duuuhhh huku ndani kuna hatari kwa kweli.......... nimecheka, hadi nimelia sasa ngoja ni nyamaze ....:smile:
Mentor meno kama sururu.
mtu ana sura mbaya hadi akicheka watoto wanalia
Hahahhahahaha....Muone miguu imekomaa mpaka viatu vyako havihitaji soli!!!
:whoo:
Ndo maana wanakuita 'Zembe kubwa', una akili fupi mpaka ubongo wako umeingia ndani!na wewe domo km kopo la chooni.
Ndiyo maana una vi-ma-ta-ko vidogooo, vimekomaaa mpaka ukiinama mtu anadhani unagonga tano!
Wewe ni 'HB' kama wasira.Ndiyo maana una vi-ma-ta-ko vidogooo, vimekomaaa mpaka ukiinama mtu anadhani unagonga tano!
Ndo maana wanakuita 'Zembe kubwa', una akili fupi mpaka ubongo wako umeingia ndani!
Wewe ni wa ajabu mpaka watu wanakutengenezea siku!u make my day...loh....
Wewe ni wa ajabu mpaka watu wanakutengenezea siku!
Pua yako kubwa mpaka ukipiga chafya watu wanajifunika kwa mwamvuli!nawee ndo maana ukaitwa bab key na wala hiyo sio key ya funguo, ni kei ndio ni kei. ha ha ha ha haaaa...ntarudi kwa ajili yako.
Pua yako kubwa mpaka ukipiga chafya watu wanajifunika kwa mwamvuli!
babako kagoma kununua viti kisa ana majipu kwenye ma ka li o.mjomba mjomba mjomba sipendi utanii..! oooh! nakwambia sipendi utani...ndo maana babako alitoa ushuzi kwenye sherehe za uhuru mwaka 1961 nyerere akamhamishia kwenye kambi za wakimbizi hadi leo.