Matani

Last edited by a moderator:
We mwili wako mkubwa mpaka ukijamba unasababisha kimbunga
 
wewe ni mrefu adi ukifua chupi huianiki inakauka ukiwa unaivaa
elifaraja nani sengi, nyumba yenu ni ya makaratazi lakini eti mlangi=oni mmeandika, "Tafadhali usibamize mlango!"

We mwili wako mkubwa mpaka ukijamba unasababisha kimbunga
Badu, ndo maana nyie mmefulia kwenu hadi mnakunywaga pombe asubuhi ndo msahau lunch na supper!!! heheh

Ta*ko Kama chips 2.. Haha
Nyotaz, Nyie kwenu ni wezi mpaka 'Alibaba & the 40 thieves' walikujaga kufanya field kwenu.

unanuka uso!
nover, hehe we ni mjanja hadi unaanikaga nguo kwenye line ya tigo!

@marrykate, boyfriend wako ni mlafi hadi alimeza adam's apple yake!!!
 
Last edited by a moderator:
jamaa ana kichwa kikubwa mpaka akija kwetu tukimkaribisha kwa kumpa stuli ye anaweka kichwa badala ya kukaa
 
sitaki kuamini kuwa kitambi chako kikubwa hadi kinagusa chini then umekodi mkokoteni wa kubebea tumbo. dahh babidili formation ya kula m2 wangu
 
demu wako ni mnene had ukienda nae kwa muvi anasit next to every body,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…