Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
unatabasamu kama unapiga mswaki....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Erickb52, wewe ni mnenen hadi ukipigwa picha, negative inatoka na mafuta.Wewe ni mzigo hadi unabonyeza screan ya Laptop yako ukidhani ni Touch
The only, demu wako amekonda mpaka anavaa chupi na suspenders!hahahah kwamba to be continued
prince nadheem, hehehe..eti mbwa wenu ni handsome mpaka akibweka dada yako ana-blush!unatabasamu kama unapiga mswaki....
hahahahah kweli ww ni mentorErickb52, wewe ni mnenen hadi ukipigwa picha, negative inatoka na mafuta.
The only, demu wako amekonda mpaka anavaa chupi na suspenders!
prince nadheem, hehehe..eti mbwa wenu ni handsome mpaka akibweka dada yako ana-blush!
elifaraja nani sengi, nyumba yenu ni ya makaratazi lakini eti mlangi=oni mmeandika, "Tafadhali usibamize mlango!"wewe ni mrefu adi ukifua chupi huianiki inakauka ukiwa unaivaa
Badu, ndo maana nyie mmefulia kwenu hadi mnakunywaga pombe asubuhi ndo msahau lunch na supper!!! hehehWe mwili wako mkubwa mpaka ukijamba unasababisha kimbunga
Nyotaz, Nyie kwenu ni wezi mpaka 'Alibaba & the 40 thieves' walikujaga kufanya field kwenu.Ta*ko Kama chips 2.. Haha
nover, hehe we ni mjanja hadi unaanikaga nguo kwenye line ya tigo!unanuka uso!
Yaani we ni kilaza mpaka Password ya ATM card umeshindwa kucrame!Mtanzanika, hehehe wewe umekonda mpaka ulipozaliwa madokta walijiuliza huu ni ugonjwa gani mtu anazaliwa na magoti manne!??
Mtanzanika ww ni mrefu mpaka ukinywa maziwa yaafika tumboni yameganda.Yaani we ni kilaza mpaka Password ya ATM card umeshindwa kucrame!
Erickb52, wewe ni mnene mpaka unashindwa ku-jump to conclusion!
Wewe ninoumer jamaa.
Na wewe Mfarisayomtata mshamba mno mpaka siku ulipewa soda ukaanza kuvunja kwa juu kama dafu!