Mwone na wewe una kiherehere kama mke wa balozi...
mwangalie kwanza pua ka ngumi...
Domowazi, mwone kwanza ndo maana simu yako ina game ya kulima...ngo'mbe wenu wamezeeka had wnatoa maziwa ya unga,
Ole wenu mnitanie nawatemeen mate !
Near by Meta high school Mbeya.
Asprin umezeeka hadi ukitembea kivuli chako kinaku-overtake.
Kaizer we ni mshamba mpaka unaweka stempu kwenye email.
Jiwe Linaloishi wewe ni mlevi wa gongo mpaka mbu akikuuma anakuwa kipofu.
Heaven on earth kwenu mbali mpaka mawio ya jua hutokea usiku!!!
watu8 mlikuwa wengi kwenu mpaka masofa yenu yalikuwa na 'upstairs'