Matani

Matani

Ole wenu mnitanie nawatemeen mate !

Near by Meta high school Mbeya.
 
Last edited by a moderator:
Asprin umezeeka hadi ukitembea kivuli chako kinaku-overtake.
Kaizer we ni mshamba mpaka unaweka stempu kwenye email.
Jiwe Linaloishi wewe ni mlevi wa gongo mpaka mbu akikuuma anakuwa kipofu.
Heaven on earth kwenu mbali mpaka mawio ya jua hutokea usiku!!!
watu8 mlikuwa wengi kwenu mpaka masofa yenu yalikuwa na 'upstairs'
 
Hahahh!!

Ati TV yenu ni ndogo hadi TV Presenter ili asome news inabidi apige magoti...
 
Asprin umezeeka hadi ukitembea kivuli chako kinaku-overtake.
Kaizer we ni mshamba mpaka unaweka stempu kwenye email.
Jiwe Linaloishi wewe ni mlevi wa gongo mpaka mbu akikuuma anakuwa kipofu.
Heaven on earth kwenu mbali mpaka mawio ya jua hutokea usiku!!!
watu8 mlikuwa wengi kwenu mpaka masofa yenu yalikuwa na 'upstairs'

Aisee......ili mradi email iwe na uhakika wa kumfikia DEMBA, potelea pote nibaki na ushamba wangu tu
 
Last edited by a moderator:
Kwenu ni wafupi eti mkikaa juu ya kiberiti miguu inaning'inia.

Kwenu mmemekomaa eti mkiwa chooni huwa mnachambia magunzi.
 
Kwenu makauzu hadi mnakula ugal mkubwa na mboga ni ugali mdogo...
 
Nasikia umekomalia dini mpaka ugali unasongea msalaba!
 
You are so ugly that have to feed you with a sling shot when you were a baby.
 
You are so ugly that your mom have to feed you with a sling shot when you were a baby.
 
Back
Top Bottom