Matani


Dah mkuu upo?
 
hehehe wivuuu! Paw ni handsome hujapata kuona. chezeiya chotara wewe


Wivu!??? Ndiyo maana umekonda hadi pajama zako zina 'stripe' moja!

Hanini....nawewe umepotea njia mwone...macho ka umepachikwa.

Mbwa wenu ni mzee hadi akiona wezi lazima ajiegemeze na ukuta ndio abweke! hehehe


Hahaha 😱

We ni mnene mpaka ukikalia shilingi 100 inakuwa 50 mbili!

Dah mkuu upo?

Wewe ni mwizi hadi ukishika sarafu ya shilingi 200, Karume anabaki na vest!
 
Mwone kwanza, ninyi kwenu ni maskini hadi geti la nyumba mnafunga kwa pini!



Kwenda huko, nyie kuku wenu ni malaya hadi wao hufanyaga abortion ya mayai!!!

muone ulivyo na bichwa kubwa mpaka unashndwa kusikitika.
 
Last edited by a moderator:

mmh had nimeogopa duh..
 
Last edited by a moderator:

twende sasa Muone jinsi ulivyo una mdomo mpana mpaka unakula chapati bila kukunja.
 
Last edited by a moderator:
Muone ulivyo mrefu ukinya maziwa fresh adi yafike tumboni yamesha ganda kua mtindi hahahaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Wassira naye yupo anatumia "Chloroquine"
 

Nimecheka hadi bhaaasi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…