Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh
we ni wazamani hadi buibui wamejenga masikioni kwako
Twende twende kwenye ukoo wenu wewe ndio mrefu kama chupa ya vimtoAsprin: Mwangalie kwanza, una machunusi mpaka ukipigwa picha inatokea kama msasa
Daughter: (natanguliza samahani)..wewe una MEWATA kubwa mpaka unavaa bra long-sleeved!!!!lol
Hashy: Nyie kwenu ni maskini mpaka mnakula ugali na hadithi za nyama..
Gongotamu: kwenu ni kuchafu mpaka wewe hutoa viatu ukitoka nje..hahahahahahaha (got u..)
Afrodenzi: wewe ni mfupi mpaka voters ID card yako ina picha yako ukiwa umesimama...teh teh teh...
The next reader: Wewe ni mbaya mpaka siku za cha mama na baba wewe ulikuwa mbwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
umekomaa mpaka ukitema mate yana dundaKwenu ni wakristo mpaka mbwa wenu wakiona mwizi anaiba, wanawaambia "wee iba tu Mungu anakuona".
miguu kama sigara kaliNyie ni washamba mpaka mnawanyweshaga kuku wenu maji moto ndo watage mayai yaliyochemshwa!
mentor umekomaa mikono paka ukishika mouse computer inasema "found new hadware".